Uchaguzi 2020 Bariadi: Mkutano wa kampeni CCM jionee

Anko kalinywa sukuma land hawataki kutaniwa hata kidogo hukuona shinyanga uwanja mtupu kabisa hata wachawi wa Gambushi wamemsotea mbali atajiju mwaka huu
 
ndio maana Lowassa alishinda harafu kitengo wakmpaisha Magufuli ambaye maudhi yake yamewanyorosha maana sio kwa kuuwa na kutesa watu huko haijapata kutokea katika historia Lissu atashinda zaidi ya Lowassa
 
kwakweli mahudhurio ni hafifu sana ukizingatia nguvu kubwa zinazotumika kukusanya watu...matangazo, wasanii, malori, mabasi nk
Watu wamekopwa hela ya pamba atawaambia nini?
 
ndio maana Lowassa alishinda harafu kitengo wakmpaisha Magufuli ambaye maudhi yake yamewanyorosha maana sio kwa kuuwa na kutesa watu huko haijapata kutokea katika historia Lissu atashinda zaidi ya Lowassa
Hizo ngonjera kaeni nazo hukohuko, Raisi ni JPM. Kampeni tunakamilisha ratiba tu.
 
Wanachotakiwa kujiuliza kama ccm inapendwa kwanini mikutano ya wabunge inakosa watu, kakiwanja kadogo tu wanashindwa kukajaza, yaan mbunge anazidiwa na m/kiti wa mtaa
 
Nyomi ndio ushindi wenyewe labda Lowasa aliibiwa
 
Wanachotakiwa kujiuliza kama ccm inapendwa kwanini mikutano ya wabunge inakosa watu, kakiwanja kadogo tu wanashindwa kukajaza, yaan mbunge anazidiwa na m/kiti wa mtaa

Jumla ya Wapiga kura nchi nzima 29million
Jumla wanachama wa CCM 15million+
Jumla ya wanachama Chadema 2million
Wajumbe wa mitaa nchi nzima 97%+ hawa ndio wenye watu na walihamasisha wanachama kujiandikisha kupiga kura nyumba kwa nyumba na sasa wanafanya kazi ya kuuza wagombea wao nyumba kwa nyumba. Kwa maana hiyo ukiona mikutano yao inajaza basi ujue
Rais ni CCM πŸ‘
Mbunge ni CCM πŸ‘
Diwani ni CCM πŸ‘

Hapo ukumbuke waliohamia chadema toka CCM kumfuata Lowasa, Sumaye, kingunge na wengine wote walisharudi kundini

CCM wamejipanga
 
Leo Bariadi wameonesha njia na wametuma salamu za moja kwa moja kwa CCM na mgombea wake. Mahudhurio hafifu kama ya mgombea udiwani na angalia hapa chini jinsi mabasi na malori yalivyotumika kusomba watu lakini wapi.
Maelfu ya wanachama wa ccm walihudhuria kampeni.
 
CCM na utawala wake wa visasi, dhuluma na uongo must go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…