Anko kalinywa sukuma land hawataki kutaniwa hata kidogo hukuona shinyanga uwanja mtupu kabisa hata wachawi wa Gambushi wamemsotea mbali atajiju mwaka huuilo nyomi lilikua wapi mkuu,,,mm nd nipo bariadi simiyu hapa narusha drone kwenye hili eneo lkn ukweli ni kwamba amna nyomi lolote...,wanabariadi sio wa namna io tu...,lbd km magu angeenda na wasanii wa tasnia zote bongo nzima angelipata ilo nyomi.
na ilo nyomi lingekua kwasababu ya wasanii tu sio kwasababu ya ankoo
#*tiotte255*