Uchaguzi 2020 Bariadi: Mkutano wa kampeni CCM jionee

Ni kweli walikuwa wanamtaka DJ, lakini ndio hivyo DJ kachomoa, Sasa sijui watamchagua Anti
 
Hao ni wakubumba/ maruhani ili bao la mkono lisipate pingamizi
 
Kwa haraka haraka nimepata idadi ya mabasi 8 na malori 14, magari madogo sikuhesabu kwa sababu mengine ni ya viongozi wa chama na mengine ni ya walinzi wa raisi na viongozi wa juu serikalini, na yaliyo baki inawezekana ikawa ni dereva na abiria wake mmoja ama wawili.
Nikilinganisha na idadi ya watu naweza kuamini kwamba wakazi wa eneo husika hawafiki hata 10% katika huo mkutano.
Je idadi hii ina uhusiano wowote na kuondolewa kwa mzee wa vijisenti?

Kwa idadi hii ingekuwa mgombea uraisi wa upinzani ama mgombea ubunge wa chama tawala ningesema ni idadi kubwa sana. Lakini mgombea uraisi aliyepo madarakani tena kipenzi cha watu (anaekubalika na kada zote) kupata idadi hii, sasa naelewa lile swali "nimefanya dhambi gani?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…