Hawa wajinga wanakera sana
Hiki kijogoo kidogo namna hii kisumbue kwa muda mrefu bila wananchi kuchukuwa hatua?Jamaa amesembua sana wakazi wa ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe
Habari za kuyimuka wa kunyumba [emoji1787]Tobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.
Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.
[emoji119][emoji119][emoji119] afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.
Na mnajinadi mna intelijensia ya Polisi ambao wana nguvu mpaka ya kufitini uchaguzi mkuu ila dogo kama huyu anasumbua mtaa.
Inashangaza kwa kweliHiki kijogoo kidogo namna hii kisumbue kwa muda mrefu bila wananchi kuchukuwa hatua?
Sio rahisi kwa mkazi wa ukonga haswa moshi bar relini kutomjua uyoSi ajabu hata wakazi wa daslam ukonga wanaweza hata wasimjue ni nani?
Si wengine wa tungamalenga tutamjua?
MnoHawa wajinga wanakera sana
Sema uwezavyo ila jamaa ni mtu hatari sanaWanaume wa dar mna tatizo siwaelewi yaani kijana mdogo hivyo anawasumbua mpk anakuwa mashuhuri Ina maana ilikuwa hamna shujaa wa kujitolea kumkaanga.anyway RIP nimekaa tabata barakuda five years ila sikuwahi kumsikia sijajua matukio yake ilikuwa wapi mpk atue huzuni hivyo kwa tabata
Zabonga yupo jela.Tobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.
Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.
[emoji119][emoji119][emoji119] afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.
Coca bana[emoji28][emoji28]..Umetiririka pointi vizuuuuri kabisa ila mwishoniii umekuja kumaliza vibaya,Kwa nini utaje mashoga????Tobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.
Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.
[emoji119][emoji119][emoji119] afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.
Naye kafa sasa ngoma drawJamaa amesembua sana wakazi wa ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe