Watu na maujuzi yaoTobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.
Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.
[emoji119][emoji119][emoji119] afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.
Yaan hawa watu ni balaa jingine. Hapana kwa kweli wakapumzike.Zabonga yupo jela.
Alianza kufa Kambale wa kutereza kafata pacha wake bariega kabaki huyo Zabonga.
Wanajiita expendable chama ni kundi la watu wengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa uongo nisiseme matukio yake? Kwani mashoga ndo halali kufanyiwa matukio ya ujambazi? Lazima ukweli tuuseme kwa yale aliyo yafanya wakati wa uhai wake.Coca bana[emoji28][emoji28]..Umetiririka pointi vizuuuuri kabisa ila mwishoniii umekuja kumaliza vibaya,Kwa nini utaje mashoga????
Unapenda sn vita asee[emoji28][emoji28]
Babuuuh mie sitaki uchokozi wako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu na maujuzi yao
Huyu bwege ndio amewanyima usingizi ????
Asee arifu ni anakula mavitasa vya abuja ani, akija kudere yani ni kashakuwa mtori! Ila machalii wa dizonga ni mafoo...Huyu kuzi kwa hapo chuga ni chaap tu imeishaa!!!Dogo mwenyewe nyama hana... huyu namkabizi kwa my man Extrovert anamkalisha vizuri tu, ila cha ajabu wakazi wa darisalama wanaingiza baridi.
Angekuwa huku A town kitambo tu tungeshamzika.
Wakazi wa mikoani bana, mnajifanyaga mashujaa sana na kudiss wakazi wa Dar.Hivi Dar kuna wanaume kweli!!!???
Huyo Kijana angefanya upumbavu wake huku Tarime kitambo sana mshamsahau.
Huyo angetimba pande hizi za Ngalimi na daraja mbili tungemfanya kachumbari kwenye pilau.Arusha Kuna jamaa mbakaji alikua anaitwa TELEZA katomber Sana wake zenu mkabaki mnalia Lia kwa miaka mingi tu,kauawa juzi Kati tu Kule Murieti?
Kweli kabisa huku hatuna kuremba remba ukizingua unachezea za usoAsee arifu ni anakula mavitasa vya abuja ani, akija kudere yani ni kashakuwa mtori! Ila machalii wa dizonga ni mafoo...Huyu kuzi kwa hapo chuga ni chaap tu imeishaa!!!
Kumbe Mshana Jr ni mwanachama mwezako?Babuuuh mie sitaki uchokozi wako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
halafu mbaya zaidi kataja gays waarabu. ngoja watetezi wa dini waje, si unajua tena, ukigusa uarabu ni kama umegusa dini ya watu.Coca bana[emoji28][emoji28]..Umetiririka pointi vizuuuuri kabisa ila mwishoniii umekuja kumaliza vibaya,Kwa nini utaje mashoga????
Unapenda sn vita asee[emoji28][emoji28]
Jombaa umesahau ya nyokaa alivyo tesa Arusha?Dogo mwenyewe nyama hana... huyu namkabizi kwa my man Extrovert anamkalisha vizuri tu, ila cha ajabu wakazi wa darisalama wanaingiza baridi.
Angekuwa huku A town kitambo tu tungeshamzika.
Sawa mjukuu wangu mchoyoBabuuuh mie sitaki uchokozi wako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona nyokaa hamkumpa vitasa?Asee arifu ni anakula mavitasa vya abuja ani, akija kudere yani ni kashakuwa mtori! Ila machalii wa dizonga ni mafoo...Huyu kuzi kwa hapo chuga ni chaap tu imeishaa!!!