TANZIA Bariega amefariki dunia

TANZIA Bariega amefariki dunia

Tatizo kubwa la Dar hivi vitoto tunavifuga wenyewe, wala hakuna sababu nyingine na tusiwalaumu Polisi.

Tuko nao mitaani na tunawajuwa na hatuchukui hatua stahiki kukomesha tabia hizi.
Kuna dogo juzi hapa niliona katika taarifa ya habari ITV kaja kuchukuliwa na sungusungu kwao kwa wazazi wake.

Walimuomba wakaondoka nae wakidai wanahitaji kumhoji na kuongea nae kuna jambo wanahitaji kuongea nae.

Walipotoka nae hawakurejea nae tena hadi kesho yake alipokutwa mtaroni akiwa mahututi kwa kichapo kizito alichopewa bila majeraha na alipopelekwa kituoni alifia njiani mwili ukapelekwa monchwari.

Nikawazia tu huyu atakuwa ni wale madogo watukutu wanaotest uhuni sungusungu wameamua kumalizana nae kimya kimya. Hakutakuwa na kesi. Mwizi huwa anajulikana sana na karibu kila mtu hapo mtaani.

Wazazi wanatetea watoto wao na aibu ya ujirani mwema ndio hufanya hawa madogo kuwa na viburi vya kuendelea kufanya ugaidi.

But dawa yao imepatikana.
 
Siyo hivyo tu kuna jamaa miaka ya nyuma alibaka mwanamke hadharani tena sokoni huko huko Chuga hadi akakojoa akasepa zake huku njemba za huko zinamuangalia ni polisi alijitokeza akam shoot wakati akikimbia ila njemba zilimkodolea macho jamaa akishusha wazungu hadharani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]afu wako hapa wanajitapa
 
hawa madogo huwa wanakua eiza walishawahi kuishi mabida ndo maana majina yao hutumia ya uko na hawanaga huruma kweli kuna mmoja mtaa flani aliatkiwa apewe kesi ya mauaji akaozee jela anabahati alikimbia msala wakal wenzake
 
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala

Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.

Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha

View attachment 2278997
Sasa huzuni inatawala vipi wakati alikuwa tishio kwa wananchi, mimi nilidhani ungesema furaha imetawala.
 
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala

Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.

Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha

View attachment 2278997
Yaani hiki kiumbe kweli ndio kilikuwa kinawasumbua hata kwenye kiganja hakijai! wakati naanza kusoma uzi huu nilidhani huyo Bariega ni pandikizi ya mtu, kumbe mtu mwenyewe kadhoofika kiafya!
 
halafu mbaya zaidi kataja gays waarabu. ngoja watetezi wa dini waje, si unajua tena, ukigusa uarabu ni kama umegusa dini ya watu.

hiyo ni chuki tu anataka kueneza uongo chuki na watu weupe. lakini hamuwawezi
 
Huzuni imetawala wapi... Mleta mada nadhani wewe ni partner uliyenusurika kwani mlikuwa watatu wawili mkaweza kukimbia. Tukio limetokea maeneo ya kinyerezi mibega muda wa saa 11 na dakika chache, ambapo mlimvamia binti ambae alikuwa akielekea kazini na kumpora pochi kama hiyo haitoshi mkamjeruhi na panga bahati nzuri kulikuwa na mlinzi wa duka aliyekuja kusaidia... marehemu akajaribu kumpiga na panga yule mlinzi alipokwepa panga likadondoka, na mlinzi akaweza kumdhibiti kibaka na raia wakawa tayari kutoa msaada, Msamaria mmoja akatoa petrol na wengine wakaleta kuni ili kuhitimisha shughuli........ picha si nzuri kuziweka hapa
nilipita eneo la tukio alfajiri nikasimama kuchukua umbea.. wakazi wa eneo hilo wamefuhi sana kwani baadhi walimtambua kwamba amekuwa akisumbua sana eneo hilo
 
Very detailed and well clarified hongera mkuu
 
Shida wa mikoani bado wana imani za kizamani kwamba jambazi lazima liwe na mwili mkubwa uliokakamaa misuli, sura mbaya yenye mangeu kama yote limevaa rough tu du! Dunia ya sasa haiko hivyo amkeni!
 
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala

Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.

Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha

View attachment 2278997
Mungu anatupenda!
 
Back
Top Bottom