Barnaba Usitake Kuniangusha!

Barnaba Usitake Kuniangusha!

Dem naona hashobokei pesa anashoboka na uhandsome. Kama pesa kashamchuna jamaa za kutosha anataka sasa ale maisha na ampendaye. . . BabyBoy
Kama vp Barnaba akitaka kurud kwenye chat basi aingie kiwandani atolewe chicha kama huyo mshikaji hapo
Ww me au ke?
 
Ndoa yake kuvunjika amekuangusha? How? Unapaswa kumhurumia, naamini hata yeye anasikitika ndoa yake kuvunjika.
 
Kuishi na dem wa uswahilini ni kazi sana ila mimi nlishapewa pande la huyo dem na mdada mmoja best yke yani wanachetua tu pesa yko unapewa show
 
Kuishi na dem wa uswahilini ni kazi sana ila mimi nlishapewa pande la huyo dem na mdada mmoja best yke yani wanachetua tu pesa yko unapewa show
[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kumbeee
 
Dem naona hashobokei pesa anashoboka na uhandsome. Kama pesa kashamchuna jamaa za kutosha anataka sasa ale maisha na ampendaye. . . BabyBoy
Kama vp Barnaba akitaka kurud kwenye chat basi aingie kiwandani atolewe chicha kama huyo mshikaji hapo
Ha ha ha hatarrr.

Yanachekesha matani kama haya Ila omba yasikukute.
Anway... Pamoja na sauti ya kubembeleza, barnababoy amepigwa chini.
Ama kweli kuimba sio kuishi malavidavi...
 
Daaaa sijui nisemaje Lakini kati ya Wasanii ninao wakubari hapa Tanzania Basi Barnaba ni Namba Moja! Anaweza kuwa hana bahati na Biashara ya muziki,Lakini hicho hakinifanyi mimi nisitambue uwezo mkubwa alio nao Kiasauti,uwezo Mkubwa Wa kuandika mashairi,uwezo mkubwa wa kupiga vyombo vya muziki,Uwezo wake wa Kufanya Live Band na sauti kuwa sawa na CD huyu ndio msanii Achana na Diamond mfanyaja biashara wa muziki,Achana na Alikiba Anae Chipukia kwenye biashara ya muziki........ Si darasa si Shetta Sauti yake barnaba na uwezo wake mkubwa alio nao vinatosha kuwaweka hao wengine wote kando! Kipi hukipati kwa BARNABA ?

Anyway Tuachane na hayo ya kimuziki...Njoo kwenye maisha ya Kawaida Japo huku simjui vizuri ila sio mtu wa MEDIA wala sio mtu wa kujionesha hata maisha yake siyo ya kuoneshwa ovyo ovyo.....Ni kijana mpole mstaarabu na Mwenye heshima!

Kinacho nishangaza ni hili ninalo lisikia kwenye Media! Eti Nikweli Barnaba Kaachana na Mkewe? Hapo ndipo napo shindwa kuamini....Barnaba Katika ndoa za mfano nilijua yako ingekuwa namba moja lakini kwa haya yanayo endelea unatakiwa kufanya kazi kubwa sana Barnaba mbali na usanii wako lakini watu walikuwa wanaangalia ndoa Yako kama Ndoa ya msanii ambayo haina makuu na Ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine! Lakini kwa hili nalo lisikia Barnaba Unatuangusha!

Kama Kweli barnaba Kaachana nA mkewe Basi wasanii ndoa zao ni maigizo sanaaaaaa.....Japo naambiwa ndoa yenye mtoto huwa haivunjiki

Ngoja tuwape muda
mkewe hajitambui anagawa sana
 
Kweli mfadhili mbuzi utakula mchuzi..
 

Attachments

  • IMG_20170705_214925_797.JPG
    IMG_20170705_214925_797.JPG
    49.6 KB · Views: 69
Back
Top Bottom