Barnabas Classic, " Diamond aliniuliza unataka sifa au unataka pesa?"

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Barnaba Classic aka Mopao aka Mtukazi ambaye kesho anaachia album yake yenye hadhi ya kimataifa album inayoandaliwa kwa ajili ya international market.

Amesifu namna Diamond Platnumz alimpokea na kumuunga mkono kwenye kusimamia project nzima ya album yake ya Love Sounds Different.

Maneno anayoyakumbuka siku amekutana na Diamond Platnumz kwa discussion alimuuliza "unataka pesa au unataka kujulikana?".

Ili swali lina maana kubwa sana kwenye biashara ya sasa hivi ya muziki ambayo imejaa chuki na mashambulizi yenye mlengo wa kauzibe.

Barnaba ni msanii mkubwa sana na fundi wa muziki, ila ameamua kuweka ego pembeni na kufuata support ya name of the game Chibu Dangote. Kuna watu wanaweza kuona anajishusha ila wenye akili wanaelewa Barnabas kaamua kufanya biashara.

Watoto kama Rayvanny na Harmonize hawawezi kabisa levels za music za Barnabas lakini wamewekwa juu na management ya Diamond na wanapiga hela mpaka kesho.

Mimi naisubiri kwa hamu album ya Barnabas na wimbo ninaosubiri kwa hamu ni aloimba na Diamond Platnumz inasemekana video yake haijawai kutokea toka Tanzania ipate uhuru.

Mwamba kabisa Barnaba kayasema maneno hayo kwa kinywa chake kwenye interview hii hapa

 
Mbona kama anapitia kwenye jina la Diamond
Na Domo kwa kushirikiana na Sallam anajua kuwakunja kinoma.

Anajifanya rafiki mwanzoni, pesa zikiingia tu ndio atajua hajui.

Halafu, jamaa anakudhulumu halafu anataka utangaze kwenye public ANAKUSAIDIA.

Sasa hivi S2kizzy na Rayvanny ndio wanaisoma namba.

Barnaba naye kashajiweka kwenye tundu la mamba
 
Diamond aachane nao ajikite kwenye mziki na biashara zake.
Muziki unamhitaji sana Diamond akisema asuse akae pembeni afanye projects zake tu bongofleva itayumba sana. Acha afanye maana hata asipofanya hawatoacha kumsema vibaya vya kumsema vipo vingi hawajaanza leo na hawatomaliza leo.

Barnaba anaenda kuiona sasa pesa ya muziki.

 
Chuki zenu na roho mbaya hazibadilishi lolote kwenye maisha ya Diamond Platnumz sana sana anazidi kutoboa na nyinyi mnazidi kukwama.
 
Ft.marioo Kali Sana

Na ya kaligraph na ya young lunya hatari....


Ya diamond hadithi ya kawaida sana
 
Ila Chrisian Bela angempa nafasi na yeye Nimeona akimfupa hela sio poa asingemuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…