Hiyo deal itaanza kufanyika baada ya 2025 JPM akimaliza muhula wake wa pili. Rais wa awamu ya sita atawekwa na mabeberu hao awe kutoka CCM au upinzani kama JPM na vyombo vya itelijensia havitakuwa macho.Kidogo kidogo utasikia serikali imeamua kuwauzia hisa zote hivyo migodi wanaimiliki wenyewe
Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi ametangaza leo kuwa Serikali kwa kushirikiana na Barrick Gold Corporation wameunda kampuni ya ubia inayoitwa Twiga Minerals Corporation. Katika kampuni hiyo Serikali ina hisa asilimia 16 na Barrick asilimia 84.
Naona cha kwako kiko kwenye heat kinataka kisuguliweWe naona unawashwa washwa kinyeo hicho.
So do u think Barrick gold would yield to Tanzania's demands if the lifespan of the three mines was nearly over? If there is no longer valuable deposits will Barrickgold agree to new condition? Think logical most of gold mines have a lifespan of over 30 years! To give u a simple estimation of the value of Acacia gold assets, 36% of shares was acquired for $1.2bln by Barrickgold from individuals!Ingependeza kwanza tukaona mkataba ili watu wajiridhishe kwanza halafu pongezi zingefuata baadae, kitu kingine ninachojiuliza na sielewi ni life span ya migodi ya Barrick imebakiza miaka mingapi?
Hapa nawapa kongole. Congratulations TZ kwa kupigania haki zenu hadi mkazipata. Hapa nampongeza Magufuli. Yaani mtapata 50% of profits, duh kweli mumejaribu.
JPM yuko safi ana-deal na wezi wa Ushirika na wahujumu uchumi! IPTL r next they will have to vomit the $187 mln soon!Geza hali ya kiafya ya Magufuli iko vipi? Kuna fununu.
Tuko vizuri sana kwakweli,it just needs heart and guts to be in that win situation...Hapa nawapa kongole. Congratulations TZ kwa kupigania haki zenu hadi mkazipata. Hapa nampongeza Magufuli. Yaani mtapata 50% of profits, duh kweli mumejaribu.
Ujerumani inakopesha nchi wanachama wa EU zenye matatizo ya Kipesa, Tanzania tunataka kutumia rasilimali zetu ili kuzikopesha nchi za EAC zitakazopata matatizo ya kipesa.Mhariri tafadhali hamisha, hii haina uhusiaoni wowote na Kenyan news.
Ni kweli unavyosema. GOT kumiliki hisa ya asilimia 16 sio jambo zuri kwani anayemiliki hisa zaidi ya asilimia 50 ndiye anaye uwezo wa kusema nini kitakachofanyika katika kampuni hicho. TZ hawajapata kila kitu walichotaka lakini ukweli ni kwamba wamepata dili nzuri ukilinganisha na ile ya zamani. Nadhani hapo zamani hawakuwa wanapata kitu chochote. Kwa negotiation kuna give and take.Wewe ni mtaalam wa masuala ya uchumi, naomba utueleweshe hiki kitu vizuri maana baada ya vurugu zote sikutgemea wataishia kwenye
- Umiliki wa hisa GoT 16% vs Mabeberu 84%, hapo mabeberu wana sauti ya nini kifanyike na wapi na lini na kwa namna gani
- Hiyo net faida unayosema 50/50 kumbuka gharama za uendeshaji na utaalam vipo kwenye mikono ya mabeberu, wao ndio watatangaza nini faida
- Makinikia sasa ruksa kuondoka, hivyo hapo wanarudi kwenye yale yale
- Pia kuna zile dola bilioni 150 ambazo walikua wamesema watalipwa, yaani hela ndefu sana hizo, ila nimeona wameishia kwenye milioni 300
Hiyo 16% ni kama rent kwa wao kuja kufanya biashara kwetu na kitakacho chimbwa tunapata faida ya 50-50.Ni kweli unavyosema. GOT kumiliki hisa ya asilimia 16 sio jambo zuri kwani anayemiliki hisa zaidi ya asilimia 50 ndiye anaye uwezo wa kusema nini kitakachofanyika katika kampuni hicho. TZ hawajapata kila kitu walichotaka lakini ukweli ni kwamba wamepata dili nzuri ukilinganisha na ile ya zamani. Nadhani hapo zamani hawakuwa wanapata kitu chochote. Kwa negotiation kuna give and take.
Ni kweli unavyosema. GOT kumiliki hisa ya asilimia 16 sio jambo zuri kwani anayemiliki hisa zaidi ya asilimia 50 ndiye anaye uwezo wa kusema nini kitakachofanyika katika kampuni hicho. TZ hawajapata kila kitu walichotaka lakini ukweli ni kwamba wamepata dili nzuri ukilinganisha na ile ya zamani. Nadhani hapo zamani hawakuwa wanapata kitu chochote. Kwa negotiation kuna give and take.
And GOT will have a chance to get more shares that 16% is the value of resources under the ground! No such deal exists in Africa be from ur oil up North in Lokichar nor ur titanium resuorces! Aside that 50-50 sharing on interest!Ni kweli unavyosema. GOT kumiliki hisa ya asilimia 16 sio jambo zuri kwani anayemiliki hisa zaidi ya asilimia 50 ndiye anaye uwezo wa kusema nini kitakachofanyika katika kampuni hicho. TZ hawajapata kila kitu walichotaka lakini ukweli ni kwamba wamepata dili nzuri ukilinganisha na ile ya zamani. Nadhani hapo zamani hawakuwa wanapata kitu chochote. Kwa negotiation kuna give and take.
Kwenye negotiations kuna give and take. Kwa kutambua kuwa tulikuwa kwenye disadvantaged position kufanya mazungumzo ilibidi serikali kutafuta bargaining chip oli barrick walazimike kurudi mezani ($190 bln tax slap).Wewe ni mtaalam wa masuala ya uchumi, naomba utueleweshe hiki kitu vizuri maana baada ya vurugu zote sikutgemea wataishia kwenye
- Umiliki wa hisa GoT 16% vs Mabeberu 84%, hapo mabeberu wana sauti ya nini kifanyike na wapi na lini na kwa namna gani
- Hiyo net faida unayosema 50/50 kumbuka gharama za uendeshaji na utaalam vipo kwenye mikono ya mabeberu, wao ndio watatangaza nini faida
- Makinikia sasa ruksa kuondoka, hivyo hapo wanarudi kwenye yale yale
- Pia kuna zile dola bilioni 150 ambazo walikua wamesema watalipwa, yaani hela ndefu sana hizo, ila nimeona wameishia kwenye milioni 300
16% as free carried shares & 50/50 economics benefits all without having a single cent in company's capital, that's great achievementNi kweli unavyosema. GOT kumiliki hisa ya asilimia 16 sio jambo zuri kwani anayemiliki hisa zaidi ya asilimia 50 ndiye anaye uwezo wa kusema nini kitakachofanyika katika kampuni hicho. TZ hawajapata kila kitu walichotaka lakini ukweli ni kwamba wamepata dili nzuri ukilinganisha na ile ya zamani. Nadhani hapo zamani hawakuwa wanapata kitu chochote. Kwa negotiation kuna give and take.
16% chunk kwa turnover ya company kubwa kama Barrick ni lots of money, millions of dollars hizo.Kwenye negotiations kuna give and take. Kwa kutambua kuwa tulikuwa kwenye disadvantaged position kufanya mazungumzo ilibidi serikali kutafuta bargaining chip oli barrick walazimike kurudi mezani ($190 bln tax slap).
Kupata free carried interests/shares kutoka 4% mpaka 16% siyo hatua ndogo. Kumbuka kwa mikataba tunayoingia, barrick ndiyo "wamiliki halisi" wa madini hayo.
Kuhusu control ya 50/50 sharin of economic benefits, serikali imehakikisha makubaliano yanafanya chief wa expenses za kampuni mpya anakuwa mtanzania. Hspo issue ya endapo atakuwa bribed ni nyingine.
Pia miamala yote lazima ifanyike kwenye benki za Tz na HQ ikiwa Rock City. Kila mwisho wa mwaka kuna review ya ku-check hiyo 50/50 thing.
Hata kama haitakuwa "perfect" 50/50, kimsingi ni kuwa hatua iliyopigwa ni kubwa na bro Magu anastahili pongezi.
Mwenzake way back 2016 mikataba mingi ilipokuwa inaisha ambalo ilikuwa fursa adhimu kuweka new terms, alichoweza ni kupandisha mrahaba from 3 to 4%!
Geza hali ya kiafya ya Magufuli iko vipi? Kuna fununu.