Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
the three minings are valued at $3.5-4 bln!16% chunk kwa turnover ya company kubwa kama Barrick ni lots of money, millions of dollars hizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
the three minings are valued at $3.5-4 bln!16% chunk kwa turnover ya company kubwa kama Barrick ni lots of money, millions of dollars hizo.
Can we have their annual collective net income so that we can get the actual amount of 16%?the three minings are valued at $3.5-4 bln!
Haiwezekani 40% kiongoziUdhembe walifanya watangulizi wake wakina Ben , wangekomaa mwanzo safari hii ingepanda hadi40% ,
You can derive from yearly production before a concentrates ban by GoT.Can we have their annual collective net income so that we can get the actual amount of 16%?
All that plus economic benefits from taxes, royalties, clearing fees in a 50/50 manner, this sounds like we are going to double all of the current earnings from the sector. If not to triple the figureYou can derive from yearly production before a concentrates ban by GoT.
Barrick Gold Corporation - Home
www.acaciamining.com
Barrick Gold Corporation - Home
www.acaciamining.com
Barrick Gold Corporation - Home
www.acaciamining.com
My rough estimates r from the amount paid to other shareholders ($1.2 bln) who controled 36% of Acacia mining n Barrickgold had to buy them out before dissolving Acacia mining!
[emoji375]16% free carried shares
[emoji375]All company's transactions in Tanzania
[emoji375]Company HQ in Mwanza
[emoji375]50/50 economics benefits
[emoji375]Maximum government inclusiveness inside company
[emoji375]All experts from Tanzania
[emoji375]Dropping of all lawsuits against Tanzania
[emoji375]Concentrates export under new terms
[emoji375] Other 10s of new benefits
Simply Tanzania won
Kwenye negotiations kuna give and take. Kwa kutambua kuwa tulikuwa kwenye disadvantaged position kufanya mazungumzo ilibidi serikali kutafuta bargaining chip oli barrick walazimike kurudi mezani ($190 bln tax slap).
Kupata free carried interests/shares kutoka 4% mpaka 16% siyo hatua ndogo. Kumbuka kwa mikataba tunayoingia, barrick ndiyo "wamiliki halisi" wa madini hayo.
Kuhusu control ya 50/50 sharin of economic benefits, serikali imehakikisha makubaliano yanafanya chief wa expenses za kampuni mpya anakuwa mtanzania. Hspo issue ya endapo atakuwa bribed ni nyingine.
Pia miamala yote lazima ifanyike kwenye benki za Tz na HQ ikiwa Rock City. Kila mwisho wa mwaka kuna review ya ku-check hiyo 50/50 thing.
Hata kama haitakuwa "perfect" 50/50, kimsingi ni kuwa hatua iliyopigwa ni kubwa na bro Magu anastahili pongezi.
Mwenzake way back 2016 mikataba mingi ilipokuwa inaisha ambalo ilikuwa fursa adhimu kuweka new terms, alichoweza ni kupandisha mrahaba from 3 to 4%!
The final agreements have been submitted to the Tanzanian Attorney General for review and legalization.Tumeambiwa tunachotaka kujua. Ila wao wanajua ukweli zaidi. Unawaona wale jamaa wajinga?
Concentrate inasafirishwa nje kuanzia kesho
Hao ni wanasiasa umeshasema kwahiyo wanachodadavua siyo uhalisiaUkienda kwenye jukwa la siasa kuna Watanzania wenye ufahamu wa ndani wa mambo ya madini, wamefanya analysis kali sana na kuiponda hii, yaani sio kwamba hawakua wakipata chochote, ila ukipiga mahesabu ya walichokua wakipata dhidi ya watakachopata kwa sasa utaona hayo makelele yote hayakua na umuhimu.
Huko kwenye jukwaa la siasa watu wanatiana ngeu, yaani wanadadavua balaa.
Unafikiria kama watu milioni moja4% to 16% unaona ni hatua kubwa sana? Kivipi ni hatua kubwa?
Madini ni yenu mnanyanyaswa then unajisifia kwamba ni hatua kubwa hiyo.
Kwanini Tanzania asimiliki asilimia 50 ya hisa na 50 zingine apewe Barrick?
Suala kusema kwamba hamna capital or teknolojia hizo ni lame arguments na ni ugonjwa mbaya sana kwenu nyie maana bila kujiongeza mtazidi kuonewa tu.
Tanzania ina migodi mingi ila bado umasikini unawasumbua sana.
Kwanini msibinafsishe hata migodi miwili tu kwa masharti kwamba wawape mashines za kila aina za kuchiba na kuchakata madini hapa hapa Tanzania?
Ubia maana yake ni mgawanyo wa faida baada ya kodi yaani gawio. Fahamu kuwa kampuni ni kama mtu anayejitegemea. Wenye hisa wanaweka pesa kwake ili azizalishe kwa hiyo hata serikali ikinunua hisa ni lzm iweke pesa. Hapo itaweka 16% ya jumla ya mtaji watakaokubaliana na kutakuwa mjumbe wa serikali kwenye bodi ya hiyo kampuni. Kampuni ikipata faida na kulipa kodi zote albaki inagawanywa serikali 16% na Barrick 84%. Mrabaha ni sehemu ya mauzo kuwe na faida hapana. Kuhusu gawio ni kwamba hakuna mwekezaji ambaye atawekeza bila kupata faida. Sheria tra ni miaka mitatu hasara wanakadiria faida ili wapate kodi na lzm ilipwe.Nini maana ya ubia kama anayelipa kodi zote ni mmoja?
Sheria mpya ya madini ndiyo imezingatiwa. Asilimia 16 ni hisa na bado watalipa asilimia 6 ya mauzo kama mrabaha na kodi ya mapato asilimia 30 ya faida baada ya gharama zote( net profit).
Tuliambiwa 50% kwa 50% kama hawataki waende maana sisi ndio wenye mali!!! (Wakashangilia wakiamini na kila mtu atapata Noah yake)Mbona Serikali ina % ndogo sana kweli safari ya kunufaika na madini TZ bado ndefu
Tusijisahaulishe kwamba na huyo mbia mwenye 16% makato hayo yanamhusu... maana shareholder hugawana faida na hasaraOngezea na 1% inspection fee (kama madini watayasafrisha nje). Kwa ujumla
1. Royalities = 6%
2. Corporate tax 30%
3. Inspction fee 1%
TOTAL CONTRIBUTION = 37%. Ambapo ktk ubia GOT inachangia "LAND" wakt wao watachangia " TECHNOLOGY na MACHINE/TOOLS.