Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Umejuaje kama tumeuziwa mbuzi kwenye gunia?Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Ndio maana nikaomba misaada kwa mwenye ufafanuzi kama hujui sio ujinga ukikaa kimyaUmejuaje kama tumeuziwa mbuzi kwenye gunia?
Nilitegemea utatoa ufafanuzi kivipi hiyo 84/16 na 50/50 haiko sawa.
Unapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.Ndio maana nikaomba misaada kwa mwenye ufafanuzi kama hujui sio ujinga ukikaa kimya
Mkuu tuliaminishwa 1+1=3 bado tukaaminishwa 3=1 na hakuna aliyehoji nadhani tuvumiliane tu... 16% kwa 84% = 50% kwa 50% yatupasa saa zingine tukubaliane nao tuu kwa maana wao na hesabu ni sawa maji na mafuta toka enzi...Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Umekurupuka mkubwa hebu sikiliza maelezo tena kwa waziri [emoji6][emoji6]Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
They have to wake up to defend their natural resources.Unafikiria kama watu milioni moja
Unapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Ungekua na akili nzuri atleast ungeweka ukweli tujue, kuanza kumu attack inaonyesha na wewe kichwani ni peupe/vacuum!!Taarifa ambayo huna uhakika nayo inaitwa TETESI
Correct 100%Kwa uelewa wa maandishi kama yatakuwa hivyo ni kuwa Sheria ya madini 2010 na marekebisho yake 2017 inaeleza kuwa kwa Mgodi wowote unaoanza serikali itakuwa na hisa bure(Free) 16% na Mwekezaji 84% hii ni kuwa uendeshaji na shughuli zote zitakuwa za muwekezaji bila serikali kuweka chochote, ila serikali inauhuru wa kuongeza umiliki mpaka 50%, na hii 50/50 ni mgawanyo wa faida baada ya kutoa gharama za uendeshaji. Kama itafanyika hivyo kweli itakuwa faida kwa nchi
Sio kila mtu mwenye mawazo tofauti na wewe ni adui yako,CCM kuweni wastaarabuUnapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
Hapana, siku hizi ni breaking news!Taarifa ambayo huna uhakika nayo inaitwa TETESI