Unapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
Kwa uelewa wangu mdogo mgao wa faida inapaswa kuwiana idadi ya hisa, iko hivyo duniani kote ndio maana nahisi kuna kitu hakiko sawaKwa uelewa wa maandishi kama yatakuwa hivyo ni kuwa Sheria ya madini 2010 na marekebisho yake 2017 inaeleza kuwa kwa Mgodi wowote unaoanza serikali itakuwa na hisa bure(Free) 16% na Mwekezaji 84% hii ni kuwa uendeshaji na shughuli zote zitakuwa za muwekezaji bila serikali kuweka chochote, ila serikali inauhuru wa kuongeza umiliki mpaka 50%, na hii 50/50 ni mgawanyo wa faida baada ya kutoa gharama za uendeshaji. Kama itafanyika hivyo kweli itakuwa faida kwa nchi
4% to 16% unaona ni hatua kubwa sana? Kivipi ni hatua kubwa?
Madini ni yenu mnanyanyaswa then unajisifia kwamba ni hatua kubwa hiyo.
Kwanini Tanzania asimiliki asilimia 50 ya hisa na 50 zingine apewe Barrick?
Suala kusema kwamba hamna capital or teknolojia hizo ni lame arguments na ni ugonjwa mbaya sana kwenu nyie maana bila kujiongeza mtazidi kuonewa tu.
Tanzania ina migodi mingi ila bado umasikini unawasumbua sana.
Kwanini msibinafsishe hata migodi miwili tu kwa masharti kwamba wawape mashines za kila aina za kuchiba na kuchakata madini hapa hapa Tanzania?
4% from where? GoT had 0% shares with exeptions of individuals who had shares in Acacia that have just been bought out!4% to 16% unaona ni hatua kubwa sana? Kivipi ni hatua kubwa?
Madini ni yenu mnanyanyaswa then unajisifia kwamba ni hatua kubwa hiyo.
Kwanini Tanzania asimiliki asilimia 50 ya hisa na 50 zingine apewe Barrick?
Suala kusema kwamba hamna capital or teknolojia hizo ni lame arguments na ni ugonjwa mbaya sana kwenu nyie maana bila kujiongeza mtazidi kuonewa tu.
Tanzania ina migodi mingi ila bado umasikini unawasumbua sana.
Kwanini msibinafsishe hata migodi miwili tu kwa masharti kwamba wawape mashines za kila aina za kuchiba na kuchakata madini hapa hapa Tanzania?
Wanaporudisha hela yao kiasi wanachorudisha sisi tunatakiwa tupate 16% kama wadau wa ardhi yenye madini.Unaweza kuta hiyo faida inayosemwa itapatika baada ya miaka 20, humu katikati watakwambia tunarudisha hela yetu ya uwekezaji.
Umejuaje kama tumeuziwa mbuzi kwenye gunia?
Nilitegemea utatoa ufafanuzi kivipi hiyo 84/16 na 50/50 haiko sawa.
hata kama umeng'olewa macho na ubongo basi hata kupapasa huwezi ? mwenye hisa 84% atagawanaje faida sawa na kidampa kapuku mwenye 16%?Umejuaje kama tumeuziwa mbuzi kwenye gunia?
Nilitegemea utatoa ufafanuzi kivipi hiyo 84/16 na 50/50 haiko sawa.
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Huenda kuta? Zito anawaharibu vijana kwa kweli..wamekua ni watu wa kupuyanga na watoa utabiriUnaweza kuta hiyo faida inayosemwa itapatika baada ya miaka 20, humu katikati watakwambia tunarudisha hela yetu ya uwekezaji.
Gulwa wakiweza kukuelewesha unitagiTumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Soma post ya 23 ya uzi huu.Gulwa wakiweza kukuelewesha unitagi
Mkuu soma post ya 23 ya uzi huu usipoelewa unalako jambo.Sijawahi Kumuelewa Profesa Kabudi na tokea aseme mwenyewe kuwa aliokotwa Jalalani basi nikimwona anazungumza huwa naliona Jalala tu na siyo Maelezo yake. Huku mnasema hisa zao ni 84% na Sisi Watanzania zetu ni 16% halafu hapo hapo tena mnasema kuwa Faida tutagawana pasu kwa pasu. Hivi hii inaingia Akilini Kweli? Acheni kutufanya Watanzania wote labda ni ' Mapopoma ' kama mlivyo baadhi yenu. Mleta Mada ( Uzi ) yupo sahihi, namuunga Mkono na ana Hoja Kubwa, ya maana na ya msingi kabisa.
Kwa uelewa wangu mdogo mgao wa faida inapaswa kuwiana idadi ya hisa, iko hivyo duniani kote ndio maana nahisi kuna kitu hakiko sawa
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Mkuu, uwe unasoma vyema. Mleta mada ameuliza swali. Saidia kutoa majibu na uache kando mabishano. Kama huna majibu, baki kimya.Unapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
Exactly. Kwa makelele huwa wanaongoza ila linapokuja la msingi na limewekwa mezani kujadiliwa huwa wanapoteza confidence na kukubali mambo ya ajabu.perhaps language is still a problem. If you don't fathom it well, you won't say anything but ending up saying Yes, yes, no, no, etc.Kinachonishangaza, kwa makelele yote yale nilitegemea wataibuka na la maana, kwanza hapo ujue Barrick tayari wameashiria lazima gharama zilipwe za kuresha kampuni ikae vizuri maana wamecheleweshwa kwa muda mrefu.