Contract is ana agreement enforceable by law.Unapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
Kwani mtaji mpaka utoe pesa au machinery! Hata ardhi yetu Tz ni mtaji.Hii kitu bado ni "vague", sio kama wengi humu tunavyohisi. Mpaka ije ifanye kazi ndio itaeleweka vema.
Vile vile itahusu newly established mining investments ambazo pia inavyoelekea hazitaanzishwa hivi karibuni.
Ni vigumu sana wewe haujachangia chochote ktk mtaji kisha faida mgawane sawa na hapa kuna technical variance on how to define economic benefit vis a vis business profit.
Kabla ya gawio kuna tozo ya faida ya 30% na baada ya hiyo kuna hiyo 16% ambazo hufanya 46%. Ukiongeza na tozo nyingine kama PAYE nk inaweza ikafika 50%Hiyo 50/50 ni zile kodi,tozo mbalimbali,CSR etc ndiyo hiyo 50/50.Na bado pia itapata stahiki za 16% kutoka kwa Twiga.
Ungekua na akili nzuri atleast ungeweka ukweli tujue, kuanza kumu attack inaonyesha na wewe kichwani ni peupe/vacuum!!
Unajikomba kwakuwa ni verified userUnapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
Kabla ya gawio kuna tozo ya faida ya 30% na baada ya hiyo kuna hiyo 16% ambazo hufanya 46%. Ukiongeza na tozo nyingine kama PAYE nk inaweza ikafika 50%
Kwenye uwanja wa madini na govt namuelewaga Mr Njaa(mayalla) Pascal MayallaTumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Kiongozi kwenye "tumeuziwa mbuzi kwenye gunia" kuna alama ya kiulizo (?) umeelewa maana ya muandishi kuweka alama hiyo?Unapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Iko hivyo kwa sababu wawekezaji katika sekta ya madini wamekuwa wakitumia ubabe zaidi kuliko uhalisia na wenye mali kwa unyonge wao au mchecheto wa kukamata pesa hawakuwahi kuhoji..... Tanzania imekomaa na ndio maana tumepata utaratibu mpya utakaokuja kuigwa na wengine siku za usoni!.... Ni Botswana pekee iliyowahi kukomaa na kupata mgawanyo mzuri, lakini sidhani kama unalingana na huu wa kwetu.Kwa uelewa wangu mdogo mgao wa faida inapaswa kuwiana idadi ya hisa, iko hivyo duniani kote ndio maana nahisi kuna kitu hakiko sawa
hii 50/50 ni mgawanyo wa faida baada ya kutoa gharama za uendeshaji. Kama itafanyika hivyo kweli itakuwa faida kwa nchi
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Pumbavu wewe, fuatilia article za Pascal mayalla, yashajadiliwa tayariTumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Anayetukana kama wewe ni dalili ya ujinga kama wa yule anayetukana mpaka analazwa na kuzushiwa kifoPumbavu wewe, fuatilia article za Pascal mayalla, yashajadiliwa tayari
Embu Leo wanaume tupo hapa. Tumalizane. Tatizo lako hasa Nini mkuu. Kwanini uko so negative. Kawaida mtu wa Aina yako anakuwa na tatizo binafsi Uwe kwa kujua au kutokujua. So tell us. Huo ujinga Hapo juu tumekusamehe. Lakini tunahitaji kutibu Hali yako.
Ungejitibu kwanza wewe na yule anayemtetea na kumwabudu kama Mungu wakoEmbu Leo wanaume tupo hapa. Tumalizane. Tatizo lako hasa Nini mkuu. Kwanini uko so negative. Kawaida mtu wa Aina yako anakuwa na tatizo binafsi Uwe kwa kujua au kutokujua. So tell us. Huo ujinga Hapo juu tumekusamehe. Lakini tunahitaji kutibu Hali yako.