Hii kitu bado ni "vague", sio kama wengi humu tunavyohisi. Mpaka ije ifanye kazi ndio itaeleweka vema.
Vile vile itahusu newly established mining investments ambazo pia inavyoelekea hazitaanzishwa hivi karibuni.
Ni vigumu sana wewe haujachangia chochote ktk mtaji kisha faida mgawane sawa na hapa kuna technical variance on how to define economic benefit vis a vis business profit.