Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

Hii kitu bado ni "vague", sio kama wengi humu tunavyohisi. Mpaka ije ifanye kazi ndio itaeleweka vema.

Vile vile itahusu newly established mining investments ambazo pia inavyoelekea hazitaanzishwa hivi karibuni.

Ni vigumu sana wewe haujachangia chochote ktk mtaji kisha faida mgawane sawa na hapa kuna technical variance on how to define economic benefit vis a vis business profit.
 
Kwani mtaji mpaka utoe pesa au machinery! Hata ardhi yetu Tz ni mtaji.
 
Sijui ujinga wa kutojua kujenga hoja utaisha lini sas huyu hata ukimtuma kutetea jambo ataweza kama kuleta swali tu au kujenga hoja hajui?
Unauliza huku una majibu mfuko wahheed
 
Hiyo 50/50 ni zile kodi,tozo mbalimbali,CSR etc ndiyo hiyo 50/50.Na bado pia itapata stahiki za 16% kutoka kwa Twiga.
Kabla ya gawio kuna tozo ya faida ya 30% na baada ya hiyo kuna hiyo 16% ambazo hufanya 46%. Ukiongeza na tozo nyingine kama PAYE nk inaweza ikafika 50%
 
Aisee naona humu watu waliosomea MEMKWA uelewa wao mdogoo.. Mnaeleweshwa Ila bado.
 
Unapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
Unajikomba kwakuwa ni verified user
 
Kabla ya gawio kuna tozo ya faida ya 30% na baada ya hiyo kuna hiyo 16% ambazo hufanya 46%. Ukiongeza na tozo nyingine kama PAYE nk inaweza ikafika 50%

Mmmh sidhani mgawanyo na mahesabu yako kwa hizo asilimia mpaka kufika 46% ni sahihi, Hapana.
16% ni Hisa, mfano tuna kampuni yetu ina dhamani ya 100 hivyo serikali inaumiliki wa 16% bure na hii 84% ni ya mwekezaji mwendeshaji, hii 30% ni Cooperate tax ambayo itaanza kulipwa kutokana na faida ya mwaka baada ya kurudisha mtaji wa uwekezaji. A-Mapato ghafi, B-Gharama za uendeshaji hivyo 30%(A-B) Cooperate, na hii Economic benefit ni 50/50 ya faida baada ya gharama na makodi yote kutolewa
Hizo PAYEE, Royality, Inspection fee, Aplication and Export fee zipo kama kawa ndo zitaja tolewa mwishoni ili kupata Economic benefit
 
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Kwenye uwanja wa madini na govt namuelewaga Mr Njaa(mayalla) Pascal Mayalla
 
Watanzania wengi bado hawaelewi kitu. Tafuteni makubaliano muone.
Kesi zote nje ya Tz
Wao 50 yao haiguswi kamwe ila yetu ndiyo ina mambo mengi.
Makinikia kuendelea pelekwa nje
300mil usd zitalipwa kwa miaka 6 baada ua kutoa madai yao
 
Unapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
Kiongozi kwenye "tumeuziwa mbuzi kwenye gunia" kuna alama ya kiulizo (?) umeelewa maana ya muandishi kuweka alama hiyo?
 
Umiliki wa hisa always kwenye mafunzo ya kihasibu huendana sanjari na gawio la faida kuna ukweli kwenye hili
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
 
Kwa uelewa wangu mdogo mgao wa faida inapaswa kuwiana idadi ya hisa, iko hivyo duniani kote ndio maana nahisi kuna kitu hakiko sawa
Iko hivyo kwa sababu wawekezaji katika sekta ya madini wamekuwa wakitumia ubabe zaidi kuliko uhalisia na wenye mali kwa unyonge wao au mchecheto wa kukamata pesa hawakuwahi kuhoji..... Tanzania imekomaa na ndio maana tumepata utaratibu mpya utakaokuja kuigwa na wengine siku za usoni!.... Ni Botswana pekee iliyowahi kukomaa na kupata mgawanyo mzuri, lakini sidhani kama unalingana na huu wa kwetu.
 
hii 50/50 ni mgawanyo wa faida baada ya kutoa gharama za uendeshaji. Kama itafanyika hivyo kweli itakuwa faida kwa nchi

Katika hizi gharama za uendeshaji wanachanganya TAXES and ROYALTIES na hizi wanazihesabu kama ndio ECONOMIC BENEFITS !!! Hizi hazitakiwi kutozwa kwa Serikali bali ni gharama ambazo should be charged to the whole company's costs of operations.
 
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie

Embu Leo wanaume tupo hapa. Tumalizane. Tatizo lako hasa Nini mkuu. Kwanini uko so negative. Kawaida mtu wa Aina yako anakuwa na tatizo binafsi Uwe kwa kujua au kutokujua. So tell us. Huo ujinga Hapo juu tumekusamehe. Lakini tunahitaji kutibu Hali yako.
 
Pumbavu wewe, fuatilia article za Pascal mayalla, yashajadiliwa tayari
 
Anayetukana kama wewe ni dalili ya ujinga kama wa yule anayetukana mpaka analazwa na kuzushiwa kifo
 
Embu Leo wanaume tupo hapa. Tumalizane. Tatizo lako hasa Nini mkuu. Kwanini uko so negative. Kawaida mtu wa Aina yako anakuwa na tatizo binafsi Uwe kwa kujua au kutokujua. So tell us. Huo ujinga Hapo juu tumekusamehe. Lakini tunahitaji kutibu Hali yako.
Embu Leo wanaume tupo hapa. Tumalizane. Tatizo lako hasa Nini mkuu. Kwanini uko so negative. Kawaida mtu wa Aina yako anakuwa na tatizo binafsi Uwe kwa kujua au kutokujua. So tell us. Huo ujinga Hapo juu tumekusamehe. Lakini tunahitaji kutibu Hali yako.
Ungejitibu kwanza wewe na yule anayemtetea na kumwabudu kama Mungu wako
 
Back
Top Bottom