RAYAN THE DON
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 679
- 1,218
Duuh! Inabidi waamke toka usingizini.4% from where? GoT had 0% shares with exeptions of individuals who had shares in Acacia that have just been bought out!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! Inabidi waamke toka usingizini.4% from where? GoT had 0% shares with exeptions of individuals who had shares in Acacia that have just been bought out!
Umejuaje kama tumeuziwa mbuzi kwenye gunia?
Nilitegemea utatoa ufafanuzi kivipi hiyo 84/16 na 50/50 haiko sawa.
Umejuaje kama tumeuziwa mbuzi kwenye gunia?
Nilitegemea utatoa ufafanuzi kivipi hiyo 84/16 na 50/50 haiko sawa.
Ndio maana nikaomba misaada kwa mwenye ufafanuzi kama hujui sio ujinga ukikaa kimya
Mkuu soma post ya 23 ya uzi huu usipoelewa unalako jambo.
Sasa hapo katukana wapi?Unapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
wewe ndo uamke ama uniambie kampuni gani EA imepewa 16% without putting up a cent and sharing revenues 50-50!Duuh! Inabidi waamke toka usingizini.
Kwa uelewa wa maandishi kama yatakuwa hivyo ni kuwa Sheria ya madini 2010 na marekebisho yake 2017 inaeleza kuwa kwa Mgodi wowote unaoanza serikali itakuwa na hisa bure(Free) 16% na Mwekezaji 84% hii ni kuwa uendeshaji na shughuli zote zitakuwa za muwekezaji bila serikali kuweka chochote, ila serikali inauhuru wa kuongeza umiliki mpaka 50%, na hii 50/50 ni mgawanyo wa faida baada ya kutoa gharama za uendeshaji. Kama itafanyika hivyo kweli itakuwa faida kwa nchi
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
na wewe haujachelewa kutengeneza fake ID maana hiyo verified account inakufanya ushindwe kujiamini unaishia kujibaraguza kwa watawala.Unapoandika tumeuziwa mbuzi kwenye gunia maana yake una uhakika... Wenzako hua wanaandika "tetesi" hujachelewa unaweza kubadili kichwa cha habari.
Vijana wa Zitto mnafundishwa kutukana tu
Hapo kuna mtego unaweza ukaambiwa ili faida ianze kupatikana ni after 20 yrs
mabeberu hawakuwahi kuwa stupid mbele ya wakoloni weusi. never anywhere.Hahahaaa hapo pia kunahitaji maelezo.
Kwa kawaida ya makampuni yakisha breakeven wanaanza kulipa Cooporate tax 30% na kwa Acacia/barrick walishabreakeven na kuanza kulipa hiyo 30%, je kwa kuanzisha kampuni mpya TWIGA ngoma inarudi kuanza upya?
Poa, ila kuwa mstarabu, unajidhalilisha kwa kutumia lugha hiyo.Nimeshasoma hiyo ' post ' yako #23 ila mbona nimeona umeandika tu Upuuzi kama si Utumbo mtupu? Una Elimu gani Kwanza kwani hata Hoja zako zote ulizoziweka hapo naona ni za ' Kitoto ' mno huku Wewe mwenyewe ukijiona ni kama vile umeshusha Nondo za maana wakati si kweli. Ningekuelewa kama ungesema kuwa kote kote huko kungekuwa na 50 / 50 na si vinginevyo na hapa kataa kubali kuna Kitu Watanzania ' tunafichwa ' au tumeshaingizwa ' Chaka ' vile vile.
Poa, ila kuwa mstarabu, unajidhalilisha kwa kutumia lugha hiyo.
Tumeambiwa kuwa serikali inamiliki hisa 16 na mabeberu watamiliki hisa 84 lakini wakasema faida itakuwa 50/50! Kama ni hivyo kwa nini na hisa zisiwe 50/50? Nahisi kuna kitu hakiko wazi naomba kama kuna mtu mwenye ufafanuzi wa hili anisaidie
Soma post ya 23 ya uzi huu.
At least watu wangekuwa wanatoa hoja kama hizi kuliko kumshambulia mtoa postHapana haiwezekani kwa mchakato huu wa 16% kwa 84% maana hii 16% ni free Interest, na hii ni kwasababu ya ardhi ni ya serikali maanake itaipa uhuru wa kuingia vikao na kuwa na cha kuongea kwa kampuni sababu naye anaumiliki huo wa 16%, na indapo mgodi utauzwa serikali hapo ina udhamani wa 16% ya mauzo hayo bila kuongeza chochote, endapo itapenda kuongeza umiliki mpaka 50% maana yake itatakiwa kuwekeza hela za uendeshaji kwa 34% maana 16% hiyo ni free.
Ila ule mgawanyo wa faida baada ya kutoa gharama za uendeshaji ndo 50/50.
Ila kwenye hiyo mabadiliko ya sheria yanaeleza kwa migodi inayoanza sasa kwa hii iliyokuwepo iliyokuwa na MDA's tayari haiguswi, ila kwa maelezo yaliyotolewa na waziri ni kuwa wamekubaliana huenda ikaifuta hiyo mikataba ya awali MDA's (Mining Development Agrements). Ikiwa hivyo vipi kwa Migodi ya GGM-Geita, Shanta-Chunya nao hii 16% by 84% inawahusu kwa sasa? Hili nalo anayejua atatudadavulia tujifunze zaidi
Hizi hoja ndiyo zinatakiwa sasa siyo wale wanaomshambulia mleta postMkuu kwenye hiyo post yako unayowaambia watu wasome hakuna ufafanuzi unaoeleweka tena zipo sehemu ambazo zinaonyesha huna uelewa na historia ya hili jambo..
Kabla ya huu mkataba mpya Tanzania ilikuwa inalipwa mrahaba kiasi gani??? na Kodi nyinginezo zilikuwage?? Tulipokwenda kwenye majadiliano demand zetu zilikuwa ni nini?? na nini tumeachieve??
Unafahamu kuwa Barrick sio kampuni mpya Tanzania na hiyo grace period unayoiongelea ilishaisha siku nyingi na ndio maana mrahaba na mengineyo vililipwa?