Kuchitimbo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 439
- 366
Sasa in actual fact hizo share 84 ni lazima watazinunua na kuzimiliki wao Barick.
Sasa tusidanganyane kwamba mtu mwenye share 16 % atapata mapato sawa na mtu anayemiliki 84 %
Dili la awali na la sasa lipi bora?1. Hakuna kubadili sheria ya madini mpaka Barrick waondoke nchini.
2. Hakuna kuishtaki Barrick mahakama za ndani.
3. Barrick haitajisajili ndani ya DSE.
4. Hakuna Mtanzania atakayeweza kununua hisa kwenye kampuni.
5. Serikali itapata share ya net profit na net loss kwa 50%.
Kwa mkataba huu tumepakatwa na hatuna pa kutokea uzalendo kweli ndio huu?
Kabudi Mungu anakuona
Tatizo la kutumia hisia kufikiri.Sasa in actual fact hizo share 84 ni lazima watazinunua na kuzimiliki wao Barick.
Sasa tusidanganyane kwamba mtu mwenye share 16 % atapata mapato sawa na mtu anayemiliki 84 %
Siyo lazima mgawanyo wa faida ulingane na asilimia za umiliki wa kampuni........Hivi vitu vinajitegemea!
Hili swali lingependeza kumuuliza mleta UZI ameona mkataba au mihemko tu?Umesha uona huo Mkataba Mkuu ?.Maanake kusainiwa sio tatizo ila tatizo ni kilicho sainiwa.
wazungu wenyewe ukiwasikiliza wanasema tumefanya partnership na barrick, sisi tunasema tumepewa shares na hiyo 16% haitajwi ni US$ ngali? tunapewa maelezo jumlajumlaKwa ujumla Tanzania hatuna share Barrick isipokuwa Twiga Minerals!
1. Hakuna kubadili sheria ya madini mpaka Barrick waondoke nchini.
2. Hakuna kuishtaki Barrick mahakama za ndani.
3. Barrick haitajisajili ndani ya DSE.
4. Hakuna Mtanzania atakayeweza kununua hisa kwenye kampuni.
5. Serikali itapata share ya net profit na net loss kwa 50%.
Kwa mkataba huu tumepakatwa na hatuna pa kutokea uzalendo kweli ndio huu?
Kabudi Mungu anakuona
Hahahhaaaa badilisha kwanza avatar ndo twende sawaUnanitajataja hofyo hofyo huku kwa nini?
1. Hakuna kubadili sheria ya madini mpaka Barrick waondoke nchini.
2. Hakuna kuishtaki Barrick mahakama za ndani.
3. Barrick haitajisajili ndani ya DSE.
4. Hakuna Mtanzania atakayeweza kununua hisa kwenye kampuni.
5. Serikali itapata share ya net profit na net loss kwa 50%.
Kwa mkataba huu tumepakatwa na hatuna pa kutokea uzalendo kweli ndio huu?
Kabudi Mungu anakuona
Maelezo mazuri sana...... ila kuna mahala umechanganya au hujaeleweka (actually sijakuelewa)Asilimia hizo ni share holding, ie 16% ya shares zote za Barrick na wao Barick wanamiliki 84%.(In actual fact hizo 84% wanaweza wasizimiliki wao Barrick kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kununua shares kwenye stock exchange worldwide ie From Hong Kong, Tokyo, Melbourne, London, Paris, New York au Toronto etc.
Kampuni huwa na shares 100 percent ambazo zinajulikana, sifahamu Barrick wana kiasi gani cha shares, usichanganye number of shares na percentage. (FYI shares za Barrick ni worldwide wana chimba Gold kila mahali ulimwenguni na makadirio yao kipato kinachopatikana Tanzania ni kama 16% ya value ya Barrick worldwide, that is why Twinga wapo 50-50 percentagewise. Natumaini unaweza kuwa umeambulia kitu.
Nashukuru nimeelewa.Mkuu tofautisha dividend na benefit, bus linapofika msamvu unanunua karanga maji soda, lisingesimama wasingeuza hayo maji, huyo muuza maji na karanga amepata benefit yaani kafaidika na uwepo wa bus stand, umeelewa?
Unajitekenya!Asilimia hizo ni share holding, ie 16% ya shares zote za Barrick na wao Barick wanamiliki 84%.(In actual fact hizo 84% wanaweza wasizimiliki wao Barrick kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kununua shares kwenye stock exchange worldwide ie From Hong Kong, Tokyo, Melbourne, London, Paris, New York au Toronto etc.
Kampuni huwa na shares 100 percent ambazo zinajulikana, sifahamu Barrick wana kiasi gani cha shares, usichanganye number of shares na percentage. (FYI shares za Barrick ni worldwide wana chimba Gold kila mahali ulimwenguni na makadirio yao kipato kinachopatikana Tanzania ni kama 16% ya value ya Barrick worldwide, that is why Twinga wapo 50-50 percentagewise. Natumaini unaweza kuwa umeambulia kitu.
Unajitekenya!
Maelezo mazuri sana...... ila kuna mahala umechanganya au hujaeleweka (actually sijakuelewa)
unaposema16% ya value ya barrick wordie inapatikana tanzania, then unakua hujaeleza inakuaje sisi tuwe na 16 wao 84 totalling 100...??
does that mean hio 16 yote inayopatikana tanzania tunaichukua sisi na barrick wanabaki na 84 za huko kwingine?...... Ima una maana kwamba sisi tunamiliki 16 ya kinachopatikana tanzania tu?.........
NOTE; haya maswali nimeuliza kutokana na maelezo yako hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilivyoelewa kampuni ya ubia ya TWIGA haimiliki migodi bali ni management company kusimamia hizo kampuni zinazomiliki migodi; mapato ya management company ni "Royalty au Management fees" ... haya ndio tutagawana pasu pasu baada ya kuondoa matumizi yaani mishahara na mengineyo. Kwenye migodi tuna 16% na huku tutapata kitu kama watatangaza mgao wa faida "Dividend" vinginevyo kwa uzoefu wangu na kampuni za uchimbaji madini faida haitegemewi kupatikana.1. Hakuna kubadili sheria ya madini mpaka Barrick waondoke nchini.
2. Hakuna kuishtaki Barrick mahakama za ndani.
3. Barrick haitajisajili ndani ya DSE.
4. Hakuna Mtanzania atakayeweza kununua hisa kwenye kampuni.
5. Serikali itapata share ya net profit na net loss kwa 50%.
Kwa mkataba huu tumepakatwa na hatuna pa kutokea uzalendo kweli ndio huu?
Kabudi Mungu anakuona
Ole,
Hakuna ufafanuzi wowote uliotoa. FYI yaani umezidi kuchanganya mambo zaidi.
Tunafahamu kuwa faida ya biashara yoyote hugawanywa kutokana na kiwango cha uwekezaji ( hisa) katika kampuni. Sasa iweje mwenye 84% na 16% wagawane faida 50/50. Kwa nink umiliki wa kampuni u
Haa mambo ni size ya wachumi, wahasibu na wataalamu wa biashara. Siyo kila mwana JF anayejua kiingereza anaweza kuinterpret.1. Hakuna kubadili sheria ya madini mpaka Barrick waondoke nchini.