Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
Chama chetu cha wanaume wabahili Tanzania ( chawawa)
Kinapenda kuwatangazia wanachama wake kuwa
Kesho kwetu sisi hakuna kitu kinachoitwa Valentine day .
Bali tutashinda tukiabudu kanisani na kusifu Muumba aliye juu.
Hii ikimaanisha mengi ikiwemo swala mtambuka la gharama na kufidia pesa za guest..
Kwani uchumi umebana
Mjulishe na mwenzio haraka upatapo ujumbe juu tuwaokoe wengine
Maana tumeskia koffi mopao atakuwepo huko dar .
Hivyo tunahofia wanachama wetu walioko huko kukiuka masharti ya chama ...
Imetolewa na makao makuu ya chama
Dodoma
Hii ndio list ya wajumbe wakuu wa bodi ya chama
Mwenyekiti bwana Kaka madenge
Makamu mwenyekiti bwana wa stendi
Katibu mkuu ndugu Mnyatiaji
Makamu katibu mkuu Emmanuel Kasomi
Muweka hazina ndugu The Icebreaker
Itikadi na uenezi, comrade Kichwa Kichafu ..
Aidha chama kinapenda kuwahimiza kuwa nafasi bado zipo wazi kwani matawi yetu ya mikoani bado hawana viongozi
Hii ni kutokana na wanachama kushindwa kuchangia shilingi 750 ya tawi .
Nikiwa kama mwenyekiti nawahimiza ma comrade wote kutii agizo haraka na kama kuna shida yoyote muone makamu mwenyekiti ndugu Emmanuel Kasomi , katibu mkuu ndugu Mnyatiaji
Itifaki ya chama izingatiwe