Barua kutoka chama cha wanaume wabahili

Muheshimiwa Kaka madenge Katibu mkuu UWABATA,

Naomba kadi mpya ya uanachama maana nimepoteza toleo lililopita.

Natanguliza shukrani.

MAKAO MAKUU UWABATA,

CHATTLE.
 
Najivunia kuwa na mwanachama kama wewe kwani unadumisha Sera yetu pendwa ya chama naunga mkono maamuzi ya ndugu katibu mkuu Mnyatiaji[/USER
[/QUOTE]

Asante kwa taarifa nipo njiani nimeomba lift kuelekea eneo la tukio hivyo ndugu Kaka madenge kama afisa habari takutaarifu mapema tuzuie tukio hili mara moja
 
Ni kosa nimekosea, mniwie radhi.
Hata mkinipa faini, nitatoa nini? Maana kuna hela naisikilizia haijaingia bado.
Zingine zote ziko bank na siwezi gusa huko hata mia.
Hahhahaahhahahahaahahhaahahahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…