Barua : kutokana na vurugu za chadema yafukuzwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika (UDA Afrika)

Barua : kutokana na vurugu za chadema yafukuzwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika (UDA Afrika)

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Barua hii hapa chadema wafungiwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika

USSR
FB_IMG_1734954700864.jpg
 
Mjomba Mbowe shikilia hapo hapo, asante kwa kukomboa kikoba cha ukoo. Maadui wameanza kujitokeza lakini wewe usijali, tuletee tu hizo hela za makamanda tuzipige hapa uchagani. Hicho kikoba umekabidhiwa na Mtei na Ndessamburo na baba yako Mzee Mbowe, ukikabidhi hakikisha unakabidhi kwa Massawe, Chua, Maurasa au Lema.
 
Wamefanya haraka sana, wangesubiri kwanza uchaguzi ufanyike, hapo ndio wangejua kama kuna vurugu au hakuna. Ila tayari kuna vurugu, kitendo cha mbowe kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti ni vurugu tosha, mbowe alitakiwa apishe mwanachama mwingine. Hao umoja wa vyama duniani wamewahi sana kutoa kibano kwa CHADEMA
 
Na TCD wanasemaje, au wanasubiri matokeo ya uchaguzi?
 
Back
Top Bottom