Barua : kutokana na vurugu za chadema yafukuzwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika (UDA Afrika)

Barua : kutokana na vurugu za chadema yafukuzwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika (UDA Afrika)

Hii vipi?
IMG_20241223_155302.jpg
 
hilo ndilo tundu lisu analoloweza, uchonganishi, bado hamjamjua vizuri hiyo ni trela tu …
 
Wamefanya haraka sana, wangesubiri kwanza uchaguzi ufanyike, hapo ndio wangejua kama kuna vurugu au hakuna. Ila tayari kuna vurugu, kitendo cha mbowe kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti ni vurugu tosha, mbowe alitakiwa apishe mwanachama mwingine. Hao umoja wa vyama duniani wamewahi sana kutoa kibano kwa CHADEMA
Mbowe anafanya biashara ya siasa
 
Hiyo Barua itakuwa fake .

Najua watu mmeanza kuichukia chadema kisa uamuzi wa Mbowe.
Ila ni vizuri tusitumie personal Attack kudhalilisha MTU au kutweza utu wake .
 
Back
Top Bottom