Wamefanya haraka sana, wangesubiri kwanza uchaguzi ufanyike, hapo ndio wangejua kama kuna vurugu au hakuna. Ila tayari kuna vurugu, kitendo cha mbowe kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti ni vurugu tosha, mbowe alitakiwa apishe mwanachama mwingine. Hao umoja wa vyama duniani wamewahi sana kutoa kibano kwa CHADEMA