Davey15
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 203
- 217
Hiyo ni sawa na mke asimpe unyumba mumewe unajua nini kitatokea......Ombi langu kwa makanisa: yawatenge CCM (wana CCM wasipewe huduma za kiroho)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni sawa na mke asimpe unyumba mumewe unajua nini kitatokea......Ombi langu kwa makanisa: yawatenge CCM (wana CCM wasipewe huduma za kiroho)
Haaa mbona tunaingiaga tukiwa tumevaa rozari,utatujuaje.Ombi langu kwa makanisa: yawatenge CCM (wana CCM wasipewe huduma za kiroho)
Mbona umewapotezea Bakwata? Hawaaminiki?
Mchakato ukishakuwa wa kuoneshana umwamba wa kisiasa hauwezi kufanikiwa.Hivi ni nani alishirikiana na serikali ya awamu ya nne kuhujumu mchakato wa katiba katika awamu za mwisho kabisa: Hadi Askofu Gwajima akaamua kumvaa kama mbogo ???
Hao huwa wanaangalia CCM imesimamia wapi nao wanasimamia hapohapo!