kwa hiyo barua ya tarehe 20/02/2025 ya kumjibu mchome na si msajili,View attachment 3332798
View attachment 3332802
Chama cha Demoktasia na Maendeleo (Chadema) kimesisitiza kuwa kikao cha Barza Kuu kilichoketi Januari 22, 2025 na kuwathibitisha baadhi ya viongozi walioteuliwa na Mwenyekiti Tundu Lissu kilikuwa halali.
Soma zaidi: Msajili atengua uteuzi wa wajumbe
Hatua hiyo inafuatia taarifa za Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kubatilisha viongozi walioteuliwa na kikao hicho leo Mei 13, kutokana na malalamiko yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro, Lembrus Mchome anayedai kuwa kikao hicho hakikuwa halali kwa kuwa akidi haikutimia.
Viongozi wanaolalamikiwa na msajili ameamua kuwaweka kando hadi Baraza kuu jingine liitishwe ni Katibu Mkuu, John Mnyika, Amani Golugwa (Naibu Katibu Mkuu – Bara) na Ally Ibrahim Juma (Naibu Katibu Mkuu – Zanzibar).
Wengine ni wajumbe wa kamati kuu walioteuliwa na kuidhinishwa na Baraza Kuu, Godbless Lema, Rose Mayemba, Salma Kasanzu, Hafidh Ally Saleh na Dk Rugemeleza Nshala ambaye pia aliteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa chama hicho.
Soma zaidi
Kupitia barua iliyosainiwa na Katibu Mkuu, John Mnyika ya Februari 20, 2025 kwenda kwa Lembrus Mchome aliyekiandikia chama hicho Februari 18, 2025, chama hicho kimesisitiza kuwa kikao kilifuata Katiba ya chama.
Barua hiyo imesambazwa kwenye vyombo vya habari leo Mei 13 na chama hicho kikienedelea kusisitiza msimamo wake kuhusu hatua iliyochukuliwa na Msajili wa Vyama vya Saisa.
Mnyika amesema idadi ya wajumbe halali wa Baraza Kuu waliohudhuria kikao hicho ni 234, ambayo ni sawa na asilimia 56.8 ya wajumbe wote, ambapo kwa mujibu wa Katiba ya Chadema ibara ya 6.2.2(a), kikao halali cha ngazi ya kawaida, kama vile Baraza Kuu, kinahitaji akidi ya asilimia 50 ya wajumbe wote wa kikao hicho:
“Kikao halali cha maamuzi ya kisera, au cha uchaguzi, au cha kurekebisha Katiba ya Chama, kama vile Mkutano Mkuu wa Chama Taifa, kinahitaji akidi ya asilimia 75 ya wajumbe wote wa kikao hicho, kikao cha Baraza Kuu unachokilalamikia hakiwezi kuwa kikao cha maamuzi ya kisera au kikao cha uchaguzi au cha kubadilisha Katiba bali kilikuwa kikao cha kawaida cha Baraza Kuu kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya kawaida ya Baraza Kuu yaani kuthibitisha jina la Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu na wajumbe wa Kamati Kuu walioteuliwa na Mwenyekiti wa Chama,” ameeleza Mnyika katika barua hiyo.
Ameendelea, “Bi. Lilian Masiaga na Eng. Dr. Nyamatari Anselm Tengecha, unaodai walikuwepo ndani ya ukumbi wa kikao cha Baraza Kuu sio wajumbe na hawapo kwenye orodha ya mahudhurio ya wajumbe wa Baraza Kuu. Kwa hiyo kuwepo au kutokuwepo kwao hakuwezi kuathiri akidi ya kikao cha Baraza Kuu wala kubatilisha maamuzi yaliyofanyika katika kikao tajwa.
“Kwa mujibu wa kumbukumbu za kikao cha Baraza Kuu unachokilalamikia, wewe mwenyewe hukuhudhuria kikao hicho. Kwa hiyo, inaelekea malalamiko yako yametokana na maneno ya kuambiwa ama ya kuhisi, lakini yasiyokuwa na ukweli au msingi wowote:
“Ingependeza sana kama mwanachama na kiongozi wa chama kama ungetafuta ukweli wa jambo hili kwenye ofisi yangu kwanza kabla ya kuandika na kusambaza uzushi huu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari na hivyo kuleta taharuki ya bure kwa wanachama na wananchi. Kwa sababu zote nilizozitaja hapo juu, malalamiko na maombi yako yote hayana ukweli wala msingi wowote,” ameeleza Mnyika.
Barua ilijibiwa na waliweka press Conference kueleza hilo. Sasa badala ya kufanya siasa inakuwa kama utoto!. Ubaya wa hili ingawa tunafanya utani hapa ni wananchi wa kawaida wanazidi kuamini zaidi na zaidi kwamba mfumo wetu umekuwa wa kujipendekeza. Matokeo yake wananchi wengi hawatashiriki kupiga kura bila kujali chama. Tatizo ni kuchanganya viongozi na watanzania. Kuna mamilioni ya watu wanataka siasa za haki na sio wote CCM wala chadema ni watanzania wa kawaidakwahiyo barua inajibiwa na press confrence gentlema, right?![]()
mchome hakuridhika na akaenda mbele zaidi na haya ndio matokeo yakeBarua ilijibiwa na waliweka press Conference kueleza hilo. Sasa badala ya kufanya siasa inakuwa kama utoto!. Ubaya wa hili ingawa tunafanya utani hapa ni wananchi wa kawaida wanazidi kuamini zaidi na zaidi kwamba mfumo wetu umekuwa wa kujipendekeza. Matokeo yake wananchi wengi hawatashiriki kupiga kura bila kujali chama. Tatizo ni kuchanganya viongozi na watanzania. Kuna mamilioni ya watu wanataka siasa za haki na sio wote CCM wala chadema ni watanzania wa kawaida

Hawajawahi kuwa na adabu, anabishana na bosi wake? Hao nyumbu kwl ni zero brainView attachment 3332798
View attachment 3332802
Chama cha Demoktasia na Maendeleo (Chadema) kimesisitiza kuwa kikao cha Barza Kuu kilichoketi Januari 22, 2025 na kuwathibitisha baadhi ya viongozi walioteuliwa na Mwenyekiti Tundu Lissu kilikuwa halali.
Soma zaidi: Msajili atengua uteuzi wa wajumbe
Hatua hiyo inafuatia taarifa za Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kubatilisha viongozi walioteuliwa na kikao hicho leo Mei 13, kutokana na malalamiko yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro, Lembrus Mchome anayedai kuwa kikao hicho hakikuwa halali kwa kuwa akidi haikutimia.
Viongozi wanaolalamikiwa na msajili ameamua kuwaweka kando hadi Baraza kuu jingine liitishwe ni Katibu Mkuu, John Mnyika, Amani Golugwa (Naibu Katibu Mkuu – Bara) na Ally Ibrahim Juma (Naibu Katibu Mkuu – Zanzibar).
Wengine ni wajumbe wa kamati kuu walioteuliwa na kuidhinishwa na Baraza Kuu, Godbless Lema, Rose Mayemba, Salma Kasanzu, Hafidh Ally Saleh na Dk Rugemeleza Nshala ambaye pia aliteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa chama hicho.
Soma zaidi
Kupitia barua iliyosainiwa na Katibu Mkuu, John Mnyika ya Februari 20, 2025 kwenda kwa Lembrus Mchome aliyekiandikia chama hicho Februari 18, 2025, chama hicho kimesisitiza kuwa kikao kilifuata Katiba ya chama.
Barua hiyo imesambazwa kwenye vyombo vya habari leo Mei 13 na chama hicho kikienedelea kusisitiza msimamo wake kuhusu hatua iliyochukuliwa na Msajili wa Vyama vya Saisa.
Mnyika amesema idadi ya wajumbe halali wa Baraza Kuu waliohudhuria kikao hicho ni 234, ambayo ni sawa na asilimia 56.8 ya wajumbe wote, ambapo kwa mujibu wa Katiba ya Chadema ibara ya 6.2.2(a), kikao halali cha ngazi ya kawaida, kama vile Baraza Kuu, kinahitaji akidi ya asilimia 50 ya wajumbe wote wa kikao hicho:
“Kikao halali cha maamuzi ya kisera, au cha uchaguzi, au cha kurekebisha Katiba ya Chama, kama vile Mkutano Mkuu wa Chama Taifa, kinahitaji akidi ya asilimia 75 ya wajumbe wote wa kikao hicho, kikao cha Baraza Kuu unachokilalamikia hakiwezi kuwa kikao cha maamuzi ya kisera au kikao cha uchaguzi au cha kubadilisha Katiba bali kilikuwa kikao cha kawaida cha Baraza Kuu kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya kawaida ya Baraza Kuu yaani kuthibitisha jina la Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu na wajumbe wa Kamati Kuu walioteuliwa na Mwenyekiti wa Chama,” ameeleza Mnyika katika barua hiyo.
Ameendelea, “Bi. Lilian Masiaga na Eng. Dr. Nyamatari Anselm Tengecha, unaodai walikuwepo ndani ya ukumbi wa kikao cha Baraza Kuu sio wajumbe na hawapo kwenye orodha ya mahudhurio ya wajumbe wa Baraza Kuu. Kwa hiyo kuwepo au kutokuwepo kwao hakuwezi kuathiri akidi ya kikao cha Baraza Kuu wala kubatilisha maamuzi yaliyofanyika katika kikao tajwa.
“Kwa mujibu wa kumbukumbu za kikao cha Baraza Kuu unachokilalamikia, wewe mwenyewe hukuhudhuria kikao hicho. Kwa hiyo, inaelekea malalamiko yako yametokana na maneno ya kuambiwa ama ya kuhisi, lakini yasiyokuwa na ukweli au msingi wowote:
“Ingependeza sana kama mwanachama na kiongozi wa chama kama ungetafuta ukweli wa jambo hili kwenye ofisi yangu kwanza kabla ya kuandika na kusambaza uzushi huu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari na hivyo kuleta taharuki ya bure kwa wanachama na wananchi. Kwa sababu zote nilizozitaja hapo juu, malalamiko na maombi yako yote hayana ukweli wala msingi wowote,” ameeleza Mnyika.
Majanga sana.View attachment 3332798

Kafuatilie unamwuliza nani sasaIle kesi iliyofunguliwa Moshi, na mwanaccm kupinga kupitishwa saa100 kugombea urais kupitia ccm ,msajili aliwahi kutoa majibu ya kesi hiyo?
mchome hakuridhika na akaenda mbele zaidi na haya ndio matokeo yake![]()
Gentleman,Hakuridhika na nini hasa wakati wajumbe wote waliweka mpaka sahihi zao. Yaani wananchi sio wajinga. Msije kushangaa kwanini Heche anapata watu wengi badala ya kutafuta sababu utansia kumshika. Lissu kushikwa si mna ona watu wako palepale tena zaidi maana wanajiuliza kinachoendelea ni nini kwanini watu wanavujwa miguu na kutekwa na kuzuiwa kusafiri. Hamuwezi kuzuia habari. Mfano unamzuia mtu kwenda Ubeligiji sasa watatuma video tena kila mtu anataka kuwasikiliza sasa kuhili hata zamani. Sio muda Rubio atapewa habari na Trump mnaona what is next

Unacho tia shaka ni pale wewe ambaye ni mwana CCM kindakindaki unahangaika na barua za CHADEMA wakati nyie CCM bado hamjamalizana na huyo aliye jipitisha Dodoma na mnaogopa hata kuhoji,ila mna manung'uniko mioyoni mwenu.Gentleman,
hakuna records za huo upotoshaji gentleman,
msajili asingethubutu kuchukua hatua yakuishauri chadema kufuata utaratibu kujaza nafasi 8 zilizowazi ndani ya kipindi kifupi kijacho vinginevyo hatua zaidi zitachukuliwa.
hizo story na porojo nyingine ni nonsense![]()