Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Chadema wana mihemko ya kijinga
Kiutaratibu wao kama Chama cha siasa hawakutakiwa kuandika barua FIFA sababu FIFA hawataki hata siku moja kuhusika na vyama vya siasa hata kama wangekuwa na hoja walitakiwa kwanza wapeleke malalamiko chama cha mpira Tanzania yaani TFF

TFF waangalie hilo swala na kulitolea uamuzi
Wao kupeleka FIFA hiyo FIFA imefungwa mikono haiwezi toa maamuzi kwa suala ambalo TFF hawajapelekewa na halijakatiwa rufaa kwao kwa mtu ambaye hakubaliani na uamuzi wao wa chama cha mpira ndani ya nchi

FIFA shauri huenda tu kama kuna Rufaa iliyoshindikana ndani ya chama cha Mpira nchi husika

Chadema hopeless kabisa

Weledi wote wameondoka na Mbowe wamebaki wajinga wakiongozwa na Lisu
 
Kitaeleweka huko
huko Zurich
 
ccm bila Polisiccm, mahakamaccm, Tumeccm, msajiliccm, wakurugenziccm, magerezaccm ni weupe sana, wanatawala kidikteta kwa vyombo hivyo, Hakuna Mtanzania mpenda Haki mwenye Akili Timamu anaipenda ccm, Acha FIFA nao wajue kuwa kuna chawa watesi waonevu kipo Tanzania kinaitwa ccm kimepokea mchango wa milion 100 wakati wanachama wa hicho club siyo wanachama pekee wa ccm tu bali ni wanachama wa vyama vingine vya kisiasa
 
Mihemuko ya kijinga unayo wewe mwenyewe kwani yanga hawakujua yote hayo mpaka kwenda kuchangia ibilisi wa ccm? Chanzo cha upumbavu ni mwenyekiti wa yanga na kama asingekuwa kachangia ccm mda huu isingekuwa unatetea ujinga wa ccm na Injinia, FIFA usiwapangie cha kupokea kwani chadema wao wametoa Taarifa huko wajibu wasijibu hawana cha kupoteza zaidi ya kuwajulisha ulimwengu wa soka kuwa club umechangia chama cha siasa ccm ambacho ni chama watesi wa wapinzani Tanzania
 
CHADEMA NDIO MA SNITCHES WA TAIFA LETU KWA ASILIMIA 100,
 
Afadhali
 
Shida si yanga kuchangia chama ambacho kinawaonea kuwatesa chadema kwa kutumia polisiccm mahakamaccm na vyombo vingine vya Dola, na kama ccm isingekuwa inainyanyasa chadema kwa sasa wasingekuwa wanahangaika nayo mda huu, unyama mateso ya ccm kwa chadema ndiyo yamewafanya kufika FIFA pasipo kujali kama FIFA watalipokeaje hilo
 
Watanzania awajui kua sisi CHADEMA tupo tayari kuwashitaki ata wananchi wote kwa wazunguzu ikitokea kua wamefanya kinyume na tunachotaka na kuamini. Wamesahau kua ata Mh.Lissu alituambia kua wanachadema tutoe ushirikiano kule MIGA
 
CHADEMA ni wazalendo sana... unakumbuka ata mwenyekiti wetu Mh.Lissu alisema yupo tayari kwenda MIGA
 
Mateso ya ccm kwa chadema ndiyo yamewafanya chadema kufika huko FIFA na chadema hawajali kama watajibu au kutojibu wao cha muhimu ni msg sent
Hapo wamebugi step Nisawa nakutafuta pakushika bila malengo
 
Hapa wamezingua, Yanga ikipata adhabu itachukiwa zaid Chadema😂
Wengi tunaipenda yanga kuliko chadema yenyewe!,/ vyama ni biashara za watu,katika vyama wote ni waganga njaa tu,na wapo kazini kama watu wengine na kazi zao.
 
Watanzania awajui kua sisi CHADEMA tupo tayari kuwashitaki ata wananchi wote kwa wazunguzu ikitokea kua wamefanya kinyume na tunachotaka na kuamini. Wamesahau kua ata Mh.Lissu alituambia kua wanachadema tutoe ushirikiano kule MIGA
Uzalendo ni singa singa wa IPTL kuchangia ccm?
 
Wengi tunaipenda yanga kuliko chadema yenyewe!,/ vyama ni biashara za watu,katika vyama wote ni waganga njaa tu,na wapo kazini kama watu wengine na kazi zao.
Ndiyo maana Mbowe na Amos makala ni madalali wa kuwauza G55 kwa ccm kisha kuwasokomeza chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…