Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
yafungiwe, ama yafutwe kabisa yakaendelee na siasa huko. Watuachie soka letu.Yanga niliipenda toka nkiwa mdogo ila kwa kujiweka sehemu ya CCM nmechoma majez yote...Nashaur Eng Ersi ajiuzulu kwa maslahi ya mpira wa TANZANIA
Ahahahahaha!!!😄 🤣 sawa sawa
Hersi siyo Yanga, atapita na kuondoka zake tu.Kamanda unafikiri kuna faida kwetu... nadhani tumeshindwa kutumia utanzania na utu wetu kuhusu ili. CHADEMA itamke sasa rasmi mashabiki wa Yanga aiwataki wawe wanachama.
Hahahaha! Hatuna cha kupotezaTutahakikisha kila sehemu tunakua wanoko mkituua mtumalizie tu
Soma tena utapata jibuSasa CHADEMA wanaishtaki CCM au Yanga?
Mfano wako umenifurahisha, safi sana, au tuseme mwizi karipoti mwizi mwenzake kwa wizi ambao hakushirikiUwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana.
Kwa hiyo kwa reasoning yako hiyo.
Tuchukulie mfano mwepesi.
Polisi Tanzania hawataki Raia Mwema ajishughulishe na masuala ya wizi.
Sasa wewe Raia Mwema umeshuhudia tukio la wizi na kwa kuwa halijakufurahisha ukaamua kwenda kuriripoti Polisi.
Sasa kwa reasoning yako hiyo ni kwamba Polisi hawatalifanyia kazi lalamiko au hiyo ripoti yako kwa kuwa na wewe kwa kuripoti jambo hilo unakuwa na wewe umejihusisha na wizi.
Ila kwa kweli kuna watu vitu mnavyoandika vinaonyesha uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana kwa ulichoandika sijakuelewa kabisa nakushauri uwe unasoma vitabu vya mada za reasoning and argumentation vitakusaidia kukuza uelewa wako.
Kiufupi umeandika pumba
😆 Labda neno kupoteza lenyeweHahahaha! Hatuna cha kupoteza
Sio kweli malalamiko hayana mipaka mtu yeyote au kikundi chochote kinaweza kupeleka malalamiko sehemu husikaWhat a fatal mistake. Hiki walichofanya kinaweza kufanywa na wanaharakati na si chama cha siasa. CDM wangeacha jambo hili likafanywa na wanaharakati. Kosa kubwa la kiufundi.
Yaan ww kuna watu niliwaambia ivi wakanibishia yaan niliwaambia ivi iviFIFA haitaifanyia kazi barua ya Chadema kwakuwa Chadema na yenyewe kama chama cha siasa kinaingilia mambo ya Soka jambo ambalo FIFA haitaki. Malalamiko haya badala ya Chadema kuyapeleka FIFA wangewashawishi watu wa mpira aidha klabu au chama cha cha soka kulalamika. Lakini kwa Chadema, no response will be received from FIFA. Mark my words!
Rahisi kama hivyo yaani; unajua Ukishakuwa chadema tu basi Kuna "fyuzi" zinakata in the name of chuki kwa Samia. Siku zote ruhusu akili itangukie na sio maguvu halafu maamuzi yanayochukuliwa kwa chuki ni mabaya sanaFIFA haitaifanyia kazi barua ya Chadema kwakuwa Chadema na yenyewe kama chama cha siasa kinaingilia mambo ya Soka jambo ambalo FIFA haitaki. Malalamiko haya badala ya Chadema kuyapeleka FIFA wangewashawishi watu wa mpira aidha klabu au chama cha cha soka kulalamika. Lakini kwa Chadema, no response will be received from FIFA. Mark my words!
Wenyewe wanasifiana hatari kuwa Wana akili🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwahiyo chadema kabisa unaamin hapo awajaingilia mambo ya mpira?
Haha kweli Mbumbumbu abadiliki
Yaan Fifa isikilize kabisa chama cha kisiasa!?
Pole lakini ndo ukweli kaka, mmechemka vibaya mnooooooMbumbumbu ni wale mburula wawili waliokaliana uchi na kukuleta duniani mpuuzi wewe
Wakikataa achana nao. Muda ni shahidi mzuri.Yaan ww kuna watu niliwaambia ivi wakanibishia yaan niliwaambia ivi ivi
Si halaliHili Jambo Lisiishe Kienyeji, ni vema wenye mpira wao wakajua ili watupe Ufafanuzi..!
Ni halali timu ya Soka kutoa pesa kwa Chama fulani zitumike kwenye Kampeni za Uchaguzi dhidi ya vyama vingine ?
Mnanikumbusha zamani gani kuhusu pressure groups baadae ndiyo huwa vyama vya kisiasaCHADEMA wameandika barua Yao kwenda FIFA, kulalamika Yanga kuwa karibu na CCM
CHADEMA wamitaka FIFA ifanye yafuatayo
1. FIFA kuichunguza Yanga juu ya ushiriki wao kwenye masuala ya Kisiasa
2 Yanga na viongozi wake waadhibiwe kulinga na kanuni na taratibu za FIFA
3. Kuzuia Tanzania kushiriki katika masuala ya soka
CHADEMA wapo tayari kutoa ushirikiano Kwa FIFA pale watakapo hitajikaView attachment 3444465
Maoni yangu binafsi: CHADEMA ni Chama changu ila hapa wanapuyanga
Naona wazi wanataka kutugawa sisi Wanachama wa Yanga, kipindi hiki chadema inahitaji mshikamano kuliko kuwagawa Wanachama
CHADEMA wajue kuwa ni rahisi kuhama Chama cha siasa kuliko timu ya Mpira
Yanga walishatolea ufafanuzi na kuomba radhi. Sasa chadema kuchagua taswira ya nchi yetu haijakaa poa
CHADEMA hawajui washike agenda Gani, wapo kudandia kiki, lolote linaloibuka wanalitaka
CHADEMA nawambia Yanga ni kina kirefi mtazama na kupoteza
Muda wa Kuhamia CHAUMA aka futuhi Chama la Ubwabwa umefika