CHADEMA Chama chetu wanatuangushaUmeishiwa hadi aibu yaani!
Mapenzi ya yanga yamekuzidia huskii wala huoni hata kama wamefanya makosaShida yenu CDM na wafuasi wake wa mitandaoni you don’t wryly from your stupidity.
Hizi ni moves za kijinga zinazoonyesha uwezo wetu mdogo wa namna pressure inavyotumika kwenye ‘geopolitics’ kusukuma agenda.
Mtakuja hapa kusifiana ujinga tu, whilst not understanding how stupid you look you to the institutions you think can help you,
Please stop this nonsense, it just make you look stupid, apparently you do not understand western politics.
Ndio sababu Lissu, yupo halipo msingi wake ni ignorance.
Acheni kujiongopea Lissu is not clever, not calculative or else he wouldn’t have been in his position.
Quit with this stupidity
Serikali aitomuachia Lissu kwa hivi vitisho uchwara, hata kama anaonea.
Ujinga wa wafuasi wa CDM to how things work is beyond me.
Just stupid
Uko sahihi. Kama ni kweli viongozi wa CHADEMA hawatatofuatiana na wa CCM aakifungia kanisa la Gwajima na kuwanyima haki ya waumini wake kuabudu kinyuma na Katiba ya NchiFIFA haitaifanyia kazi barua ya Chadema kwakuwa Chadema na yenyewe kama chama cha siasa kinaingilia mambo ya Soka jambo ambalo FIFA haitaki. Malalamiko haya badala ya Chadema kuyapeleka FIFA wangewashawishi watu wa mpira aidha klabu au chama cha cha soka kulalamika. Lakini kwa Chadema, no response will be received from FIFA. Mark my words!
Kazi ya DAWASA inakufanya uwe Chawq Kiasi hiki ?Kukosa akili😆
Mizuka political party
Za ndani FIFA wame wajibu Chadema na kuwapa onyo Kali kumbe hata Simba walichangia 300m kupitia friends of SimbaKabisa Mkuu. CDM wamechemka. Walitakiwa wawashawishi wadau wa soka ndio waandike hiyo complaint FIFA na sio wao. Walichofanya no yale Yale.
Chadema hawajakosea wao wanawakumbusha fifa inawezekana vipi club ya Mpira kumsaidia pesa za kumsulubu mpinzani wake? Je ni sahihi na ni haki? Fifa watusaidie majibuHujanielewa. Inawezekana ni kweli Yanga wamekosea, lakini inawezekana hata Chadema wamekosea wakifikiri wanaweza kupeleka malalamiko ya Soka kwa FIFA na wakasikilizwa.
Kama malalamiko yatakua na Ukweli wa kanuni kuvunjwa, Haitaangaliwa mlalamikaji ni nani? Mark My Words!FIFA haitaifanyia kazi barua ya Chadema kwakuwa Chadema na yenyewe kama chama cha siasa kinaingilia mambo ya Soka jambo ambalo FIFA haitaki. Malalamiko haya badala ya Chadema kuyapeleka FIFA wangewashawishi watu wa mpira aidha klabu au chama cha cha soka kulalamika. Lakini kwa Chadema, no response will be received from FIFA. Mark my words!
duh yaani wewe ndo umeandika pumba zaidi, mfano wenyewe hata hauendani. kama unasoma vitabu vya reasoning unahitaji kusoma zaidi.Uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana.
Kwa hiyo kwa reasoning yako hiyo.
Tuchukulie mfano mwepesi.
Polisi Tanzania hawataki Raia Mwema ajishughulishe na masuala ya wizi.
Sasa wewe Raia Mwema umeshuhudia tukio la wizi na kwa kuwa halijakufurahisha ukaamua kwenda kuriripoti Polisi.
Sasa kwa reasoning yako hiyo ni kwamba Polisi hawatalifanyia kazi lalamiko au hiyo ripoti yako kwa kuwa na wewe kwa kuripoti jambo hilo unakuwa na wewe umejihusisha na wizi.
Ila kwa kweli kuna watu vitu mnavyoandika vinaonyesha uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana kwa ulichoandika sijakuelewa kabisa nakushauri uwe unasoma vitabu vya mada za reasoning and argumentation vitakusaidia kukuza uelewa wako.
Kiufupi umeandika pumba
chadema anamamlaka ipi ya kumkumbusha fifa? akiwa kama nani kwenye soka?Chadema hawajakosea wao wanawakumbusha fifa inawezekana vipi club ya Mpira kumsaidia pesa za kumsulubu mpinzani wake? Je ni sahihi na ni haki? Fifa watusaidie majibu
exactly, chadema anataka asikilizwe na fifa akiwa kama nani kwenye tasnia ya soka?Hujanielewa. Inawezekana ni kweli Yanga wamekosea, lakini inawezekana hata Chadema wamekosea wakifikiri wanaweza kupeleka malalamiko ya Soka kwa FIFA na wakasikilizwa.
Mbona unazunguka babu kama poyoyo? Wewe unachangia nini Yanga hadi uwapangie cha kufanya? Achana na watu...kwani wewe ndio unachungu sana kwani viongozi wangapi wapiga kelele kama wewe wa Chadema wanahamia CCM kila siku? Nani unayeijua na kuipenda CHADEMA zaidi, wewe ama viongozi wanaohama kila uchwao? Chadema wenyewe tawi la CCM. Ni unafiki tu na roho mbaya hadi kufikia hatua ya kuandika barua hakuna cha ushenzi wa CCM wala niniKwani ccm inachangia nini yanga? na kwani wewe ndiyo msemaji wa mipango mibovu kuchangia ibilisi wa ccm chama cha watesi wa chadema, tambua club ya yanga ina wanachama na hulipa Ada huchangia Timu na wao siyo ibilisi wa wa ccm kama wewe hawataki club kuchafuka kisa wewe kunufaika na huo upumbavu wa mwenyekiti wa yanga
Unaelewa nini kuhusu "whistle blowing policy" ya FIFA? Vinginevo kaa kimya kama hujui.FIFA haitaifanyia kazi barua ya Chadema kwakuwa Chadema na yenyewe kama chama cha siasa kinaingilia mambo ya Soka jambo ambalo FIFA haitaki. Malalamiko haya badala ya Chadema kuyapeleka FIFA wangewashawishi watu wa mpira aidha klabu au chama cha cha soka kulalamika. Lakini kwa Chadema, no response will be received from FIFA. Mark my words!
UPUUZI KATIKA UBORA WENU.exactly, chadema anataka asikilizwe na fifa akiwa kama nani kwenye tasnia ya soka?
hiyo hata mimi naweza kuandika, tumia vifungu mkuu.UPUUZI KATIKA UBORA WENU.
Who can blow the whistle?
FIFA’s whistleblowing system is open to anyone — individuals, organizations, clubs, officials, players, and even external entities (like NGOs, companies, or political parties). A political party could technically file a report.
What matters most?
The content of the report, not the identity of the whistleblower. If the report concerns a breach of FIFA statutes — such as political interference (FIFA strictly prohibits government or political influence over football bodies) — then FIFA may investigate.
Political involvement rule:
FIFA requires national football associations to remain independent from political influence. If a political party submits credible evidence that a football body or official is engaging improperly in politics, FIFA’s Integrity & Compliance or Governance units could examine it.
Practical note:
Even if a political party raises the issue, FIFA will evaluate it on the facts and evidence, not on who submitted the report. FIFA may be cautious about political motives, but the whistleblower channel is not restricted.
Tembelea whistle blowing policy ya fifa hususani reporting mechanism and channel of reporting. Wametajwa mpaka vichaa wanaweza kuripoti.hiyo hata mimi naweza kuandika, tumia vifungu mkuu.
Whistleblowing in FIFA refers to the act of reporting wrongdoing within the organization or related to FIFA's activities. This can involve reporting corruption, bribery, human rights abuses, or other unethical practices. FIFA has established reporting channels, including a dedicated portal, to encourage and protect whistleblowers.Unaelewa nini kuhusu "whistle blowing policy" ya FIFA? Vinginevo kaa kimya kama hujui.
Ok sasa muulize huyo bot AI kama chama cha siasa kinaweza kuissue hizo allegations.Whistleblowing in FIFA refers to the act of reporting wrongdoing within the organization or related to FIFA's activities. This can involve reporting corruption, bribery, human rights abuses, or other unethical practices. FIFA has established reporting channels, including a dedicated portal, to encourage and protect whistleblowers.
Key aspects of FIFA whistleblowing:
- Reporting channels:
FIFA provides a secure and confidential whistleblowing system, including a web-based portal where individuals can report concerns and attach supporting documentation.
- Anonymity and confidentiality:
FIFA emphasizes protecting the anonymity of whistleblowers who wish to remain anonymous, and information received is treated confidentially.
- Reporting mechanisms:
FIFA accepts reports through various channels, including email, in person, by letter, or by phone, in addition to the online portal.
- Protection of whistleblowers:
FIFA has a responsibility to protect whistleblowers from retaliation, though concerns about potential legal or professional consequences remain a barrier to reporting.
- Examples of whistleblowing cases:
Several cases have highlighted the importance of whistleblowing in FIFA, including those related to the Qatar World Cup bids and allegations of corruption within the organization.
- Importance of whistleblowing:
Whistleblowing plays a crucial role in exposing wrongdoing, promoting transparency, and ensuring ethical conduct within FIFA and the wider football community.
- "Hii ndio ulikuwa unamaanisha siijui au nyengine?"
Je, wewe umesoma umenielewa? Kwamba Yanga achangie CCM FIFA waseme ni violation of human rights au? Ebu fafanua maana FIFA hawasemi zaidi ya kusisitiza "neutrality in politics".Ok sasa muulize huyo bot AI kama chama cha siasa kinaweza kuissue hizo allegations.
Usitoke nje ya mada, Hoja yako ilikuwa kwamba CDM hawana mandate ya kuisue malalamiko ya ya nga kuchunguzwa kwa sababu CDM ni chama cha siasa. Ndio nikakuuliza kama unaijua hiyo whistle blowing ya FIFA. Kuhusu content ya barua na neutrality ya policy hiyo sio hoja yangu. N ilichotaka kukukumbusha ni kwamba hata chama cha siasa kinaweza kuisue malalamiko kwa ajili ya uchunguzi na ndicho CDM walichofanya.Je, wewe umesoma umenielewa? Kwamba Yanga achangie CCM FIFA waseme ni violation of human rights au? Ebu fafanua maana FIFA hawasemi zaidi ya kusisitiza "neutrality in politics".