Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

Hata chama cha siasa ama kiongozi/viongozi wa kisiasa wanaruhusiwa kumiliki Vilabu vya mpira

Muanze kuwapiga marufuku (wanasiasa), na kujipiga marufuku kudhamini ndondo cup
Hayati Bilionea Silvio Bellusconi alikuwa Waziri Mkuu wa Italia huku akiimiliki timu ya AC Milan. Sijui unakumbuka? Nini Mangungu bwana!!!????
 
Hili la FIFA ni la kisheria, taratibu na kanuni zake. Mambo ya reasoning yangu sijui yanaingiaje! Ahahahahaha!!!
 
Chadema wanarukia kila tukio, ni dalili ya kukosa agenda za kitaifa. Hata mtu akinyampa watatoa press release
 
Hata mimi nimekuwa yanga toka utotoni ila kwa hiki walichofanya sitaki kuwasikia tena
 
Hapa CDM kama kweli wameandika wao wamezingua sana. Watatengeneza chuki zaidi kwa chama chao kwa baadhi ya mashabiki wa Yanga.

Linapokuja suala la usimba na uyanga tunajuana sisi. Natamani isiwe kweli, ama wakanushe hii habari.
Hawana uwezo wa kutasfsiri taarifa chanya na hasi
 
Watu wachache sana kwenye huu uzi ndio wamechangia bila hisia za kishabiki. Kuna watu wanajifanya ni chadema sana, lakini ukweli ni kuwa Usimba ndio unaowatesa, wangependa tu Yanga ishughulikiwe kwa namna yoyote.

Hata kama Yanga ilikosea, Chadema nayo ndio inazingua zaidi. Ifahamike pia kuna wanachadema au wapenzi wa CDM na vyama vingine ambao wasingependa BAYA LOLOTE liiifike Yanga.
 
Good 🤔
 
Mwisho wa siku watu wamesharipoti na ushahidi wameweka.
 
Miaka mitano iliyopita …wanachama na mashabiki wa yanga mlikua mashabiki wenye hali ngumu zaidi afrika nadhani kipindi kile cha kuchangishana bakuli…mkaandaa mkutano na mgeni rasmi nadhani alikua Mstaafu JK na miongoni mwa matakwa yenu makubwa yalikua ni kupata mfadhili mpya, najiuliza bila nguvu ya JK ambaye nae alitumia ustaafu wake na nguvu yake kisiasa (ambayo mzizi wake ni CCM).. je mngepata haya mafanikio sasa hivi, kwamba watu mnasahau kiasi hicho.

Na je huyu mama SSH huwa akitoa zile pongezi za goli la mama kwann pia msiwe mnatuma hizi jumbe FIFA sababu bado ni politics zimeingia kwenye soka…lakini no tunafurahi na tunazipokea.

Hio haitoshi mnasema kwamba zile ndege sjui na baadhi ya incentives serikali inawapa baadhi ya timu..kwamba ni serikali sio CCM, kuna serikali pasipo kuwa na rulling party?? …je leo hii CCM wakimtengua mh. Rais uanachama anabaki kua na sifa ya kuiongoza hiyo serikali?

Na halafu kwenye ile harambee ni kwamba tunaumia sana Yanga kutoa mchango wao sababu hatuipendi ccm au ni sababu tumepata nguvu since MO na Simba yake hawakuchangia kitu (Hadharani, sababu pengine pia alichangia kwa siri)…

Na hawa Chadema wao wanajinasibu moja ya matamanio yao makubwa ni kuwakomboa vijana katika umaskini..okay inafikirisha sana kama hii ndo nia yao ya dhati na wanajua kabisa kushtaki au kuongoza hili zoezi la kuishtaki yanga ita sababisha timu kufungiwa ama kupata adhabu kaki, hawaoni itaharibu ndoto za vijana wangapi ambao waliona mpira ndo utawatoa, je hawajifunzi kuona yanga mchango wake kwa maendeleo ya mpira Tanzania angalau kwa uchache leo hii timu yetu ya taifa ina tim bora kwa wachezaji wa ndani…inshort ajira ngapi na ndoto ngapi zitamalizwa na huu uanarakati wa kimihemko.

Mimi kwa maoni yangu nadhani hizi timu za mpira kuna mengi yapo nyuma yake, hawa wawekezaji au wafadhili nao ni binadam kama sisi hata wao hukata tamaa, leo hii soka letu limekua sana lakin hatuwez weka mchango wao nyuma hawa watu, sasa na hata serikali inashirikiana sana na hata kusaidia haswa hiki kipind cha awamu hii, inaweza ikawa sekta nyengine bado hatuoni makubwa…lakini comon hakuna wakati michezo imekua mikubwa kama awamu hii, Hawa Yanga juzi juzi tu walisema Mh. Rais aliidhinisha sehem ya kujenga uwanja wa Yanga.. sasa hata kama yanga wamechanga au laa kwa CCM sioni shida kias kwamba watu wanapata mihemko kiasi hiki na sanasana ni mkumbo tu wa Mange kimambi.

Tubadilike this is a Capitalist world… watu wanatumia hela kupata outcome…tusibeze na kuwakatisha tamaa wawekezaji mbalimbali la sivyo tutakua hatusogei kila siku tunarudi nyuma.
 
Hii barua haiwezi kufanyiwa kazi na FIFA mana chadema nao wamekosea kanuni, hii barua ilitakiwa ipitie kwa TFF kwanza, n kama vile Yanga walivyoenda CAF wakatolewa nje kisa hawajaenda TFF.

Ukiwa mfia chadema huwezi kuelewa hili.
 
Km ni kweli hao mambwa koko wanathibitisha walivyo maadui wa Taifa letu. Wameshindwa siasa wanatumia kila upuuzi kujaribu kuiharibu nchi, chadema ni wahuni, magaidi, wahaini, ni kundi hatari linalotafuta madaraka kwa njia haramu. Wameona Rais amepaisha kiwango cha mpira wa miguu Taifa Stars wameingia robo fainali roho zimewapasuka hao mahasidi. Ni juzi Rais wetu amepewa nishani ya heshima zaidi na CISM baraza la michezo ya majeshi duniani akiwa Rais wa 7 Africa tangia mashindano hayo yaanzishwe mwaka 1948, wameumia sana sasa wanajaribu namna ya kuchafua taswira ya nchi. Hao mambwa hawatafanikiwa wataishia kujiongezea stress.
 
Ni aibu na fedheha mwanaume mzima rijali na mapumbu yake anaacha kufanya kazi ya kumuingizia kipato anaandika huu uchafu, ili mpate nini nyie mambwa koko? Nchi ikifungiwa mtapata nini ingawa hamtafanikiwa lolote wanaharamnyie mso na haya! Ndio maana watanzania wamewadharau washenzi nyie
 
Hapo chadema wameiandikia fifa barua wao kama nani?
Kwa kweli chama kikiendeshwa kimzuka huwa ni aibu kwa wanachama wake..

Cdm mnajipa haki ya kujiona wenye akili, kama mavi na mizuka tupu.
 
Relax we jamaa inaonekana una jichukia sana hii na habari tu lakini umepaniki, jipende, jikubali na tafuta namna ya kushughulikia maumivu ya kihisia na kiakili yanayokusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…