Barua ya Dani Alves baada ya kutengana kwa Joana Sanz

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
Barua ya beki, Dani Alves aliyomwandikia aliyekuwa mke wake Joana Sanz imefuchuliwa lakini beki huyo akiendelea kusota jela kufuatia kesi ya ubakaji inayomkabili.

Beki huyo wa zamani wa Barcelona, aliandika barua hiyo akiwa jela ya ‘Brian 2’ iliyopo Hispania akishikiliwa kwa mashtaka ya unyanyasaji wa kijinsia. Imeelezwa Alves aligoma kula baada ya mwanamitindo huyo kutangaza rasmi ameachana na mwanasoka huyo kutokana na madai yanayomkabili.

Alves anakabiliwa na kesi ya kumshambulia mwanamke bafuni kabla ya kumbaka, baadaye mwanamke huyo ambaye hakufahamika jina alimripoti polisi na kukamatwa, tukio hilo lilitokea Desemba 31 mwaka jana.

Nyota huyo wa zamani wa Timu ya Taifa ya Brazil, alichanganyakiwa baada ya ndoa yake kuvunjika kwa
mujibu wa ripoti. Spanish TV ilisema barua hiyo imefichuliwa baada ya Joana kutangaza rasmi ndoa yake na beki huyo imevunjika rasmi kupitia akaunti yake ya Instagram.
.
Hii hapa barua ya Alves aliyomwandikia aliyekuwa mke wake

“Kipenzi changu Joan, imepita miaka minane sasa ya upendo wetu na heshima. Miaka ya nyuma mambo yetu yalikuwa mazuri na yenye furaha, wewe na watoto wangu (Dani Filho na Victoria), Tumekua pamoja tangu siku tulionana, tumeongozana pamoja kwa jambo lolote, tulipitia magumu mimi na wewe, nasikitika umeivunja ndoa yetu, nitaomba kila siku unipe nafasi nyingine ya kukupenda tena, naelewa maumivu unayopitia, nitaendelea kupambana kwa ushirikiano wa familia yangu, ukweli utagundilika na dunia itafahamu.”

 
Ulichoandika kimenisababishia k8zunguzungu tu. Inabidi niombe ruhusa kanisani kuwa kesho sitawwza kufika sababu ya kizunguzungu.

Labda nikuulize, kabla hauja post ulisoma na kuona kuw kila kitu kipo sawa?
 
Dani Alves ni bonge la gentleman na mpambanaji hasa. Huyo jamaa siyo lialia.
Aliwahi kufanyiwa ubaguzi kwa kurushiwa ndizi, alichofanya akaikota, akaimenya na kuila then akaendelea kupiga mpira wa kona.
Your browser is not able to display this video.
 
Dani Alves ni bonge la gentleman na mpambanaji hasa. Huyo jamaa siyo lialia.
Aliwahi kufanyiwa ubaguzi kwa kurushiwa ndizi, alichofanya skaikota, akaimenya na kuila then akaendelea kupiga mpira wa kona.
View attachment 2565311
Wazungu ni wabaguzi sana. Naamini hata kwenye hili atatoka salama ila wanawake sio wa kuwaamini kabisa.
 
Visca Barca, chama langu dah....! Alikuwa dependable player wetu kwa muda mrefu.
Kesi za sexual abuse, sexual harassment, rape na nyinginezo za aina hiyo huwa zinagubikwa na utata mwingi hata ushahidi wake huwa una utata. Mnaweza kukubaliana ile umekojoa tu demu anatoka na ushahidi wake(sperms) anenda kukugeuza dili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…