Barua ya Dani Alves baada ya kutengana kwa Joana Sanz

Barua ya Dani Alves baada ya kutengana kwa Joana Sanz

Wanaume sisi hata kama demu alitaka kukuua hatuendagi mahakamani tunakaa pembeni lakn wenzetu mpaka wakukomeshe hata kama ni jambo gan
Ila wao sasa mguse vyombo vya sheria vitakuandama na utaonekana mkatili sana. Huyu mwanamke ni mgawanyo wa mali atakua anataka.
 
Hakuna kitu Duniani Cha kipumbavu kama kuinvest feeling zako kwa mtu mwingine

Jamaa kama Alves ana umaarufu na pesa ambazo Nina uhakika anaweza kuwavutia wanawake wengi Duniani kote, mtu kama huyu ana uhakika wa maisha mpaka umauti umkute, yet anahangaika na mapenzi

Niliwahi Kuona chats za Elon musk na amber heard zilizovuja, yaani kademu kanachat na tajiri namba Moja Duniani bila kujali hata, yaani mtu kama Elon musk hata ukiongea nae mwanaume lazima heshima ifate mkondo wake maana unajua jamaa anaweza kukupa mchongo ukatoka na ukoo mzima, ila haka kadem kalikua kanamjibu kunya tu, jamaa ndo anajipendekeza, dah kweli k ina nguvu

Sisi maisha hayajanyooka ni kupambana Kila siku Mungu tusaidie tu, kua Mwanaume inahitaji uwe na roho ngumu sana na ujue thamani yako haswa haswa, bila hivo utakuja kua kua kama kina mpwayungu village utamani kua demu wanaume waku pet pet
 
Ila wanawake nyie jamani, pamoja ni mama zetu, dada zetu, wake zetu, wapenzi wetu, utamu wetu, hamjawahi kabisa hata kuonea huruma wanaume wakipata shida, yaani mwanaume akipata shida ghafla unageuza kabisa akili na kumuacha, yaani nyie mnaangalia mbeleee tu, muwe na huruma jamani, mnatutisha mno, na sisi wanaume ni binadamu mjue, ndio wakati mwingine wanaume wanakimbilia kufanya mauaji, muwe na huruma nyie.
 
Hivi jamaa atakaa nyuma ya nondo kwa muda gani?
Sina uzoefu na mambo ya kisheria ila nadhan mpaka uchunguzi ukamilike
Visca Barca, chama langu dah....! Alikuwa dependable player wetu kwa muda mrefu.
Kesi za sexual abuse, sexual harassment, rape na nyinginezo za aina hiyo huwa zinagubikwa na utata mwingi hata ushahidi wake huwa una utata. Mnaweza kukubaliana ile umekojoa tu demu anatoka na ushahidi wake(sperms) anenda kukugeuza dili.
Wanakusetia mchongo tu jamaa anadai kuwa alifanya mapenzi lakini hakubaka walikubaliana.
 
Back
Top Bottom