Hakuna kitu Duniani Cha kipumbavu kama kuinvest feeling zako kwa mtu mwingine
Jamaa kama Alves ana umaarufu na pesa ambazo Nina uhakika anaweza kuwavutia wanawake wengi Duniani kote, mtu kama huyu ana uhakika wa maisha mpaka umauti umkute, yet anahangaika na mapenzi
Niliwahi Kuona chats za Elon musk na amber heard zilizovuja, yaani kademu kanachat na tajiri namba Moja Duniani bila kujali hata, yaani mtu kama Elon musk hata ukiongea nae mwanaume lazima heshima ifate mkondo wake maana unajua jamaa anaweza kukupa mchongo ukatoka na ukoo mzima, ila haka kadem kalikua kanamjibu kunya tu, jamaa ndo anajipendekeza, dah kweli k ina nguvu
Sisi maisha hayajanyooka ni kupambana Kila siku Mungu tusaidie tu, kua Mwanaume inahitaji uwe na roho ngumu sana na ujue thamani yako haswa haswa, bila hivo utakuja kua kua kama kina
mpwayungu village utamani kua demu wanaume waku pet pet