Barua ya Dani Alves baada ya kutengana kwa Joana Sanz

Barua ya Dani Alves baada ya kutengana kwa Joana Sanz

Ikiwa ni kweli barua hiyo imeandikwa na mwanaume, basi huyo mwanaume ni mpumbavu. Wanawake hawastahili kubembelezwa kadiri unavyombembeleza anavimba kichwa. Iwe amekosea ama laa alipaswa kumwambia kiume kuwa anakubaliana na maamuzi yake kisha apambane na mambo yake na siku akiwa huru asimtafute kabisa.
Ikiwa ni kweli wewe Alves ndo uliyeandika hiyo barua nakuambia hivi, pumbavu zako.
 
Yani mtu kacheat lakini lawama anatupiwa mke😂😂😂aisee hii ndo Afrika,

Kwenye suala la cheating, mwenye maamuzi ya kusamehe, kuendelea au kuachana ni la yule aliyesalitiwa, na uzuri wenzetu wana sheria kali, acha alipie matendo yake
 
😒 mke anadai talaka, si angeendelea kutulia kesi iishe kwanza, kuna kamchezo kachafu kalifanyika
 
Back
Top Bottom