Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #61
Hata kama jamaa alikubali usaliti lakini sio kumfanyia hivi, bora angefanya hivyo punde tu baada ya jamaa kukubali kutoka na Ke mwingine tungeelewa ni hasira na chuki dhidi ya usaliti. Hii ya sasa lengo ni mgawanyo wa maliSure mkuu ji mali as a wife si walijubaliana kusimama kwa shida na raha
Angemtafutia lawyer mumewe amtoe huko, angetumia pia huu muda kuwaprove wrong watu ila kuleta mambo ya talaka kunamuongezea jamaa kutoaminiwa na watu, i. Feel sorry for him 😃😃