Barua ya Dani Alves baada ya kutengana kwa Joana Sanz

Kidogo nimekuelewa ila hii ni huko ng'ambo sio huku kwetu Africa.
 
Kidogo nimekuelewa ila hii ni huko ng'ambo sio huku kwetu Africa.
Yes, najaribu tu kuchokoza mada sina uhakika since sisi hatujui aliwazalo huyo mkewe, ila chunguza trends za haya mambo jinsi zinavyokwenda.

Yaani kwao ni bora mtu aue au auze madawa atatetewa 😁
 
Yes, najaribu tu kuchokoza mada sina uhakika since sisi hatujui aliwazalo huyo mkewe, ila chunguza trends za haya mambo jinsi zinavyokwenda.

Yaani kwao ni bora mtu aue au auze madawa atatetewa 😁
Kesi za kingono zinawasweka ndani sana hawa mastaa nadhani huwa wanategewa.
 
Baharia yule labda anataka K tu...usidhani akifanikiwa ataendelea kumbembeleza..
 
Kuoa baada ya kupata utajiri nayo ni changamoto..hawa ma-star wa soccer kwann wanaokotaga pisi zenye njaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…