Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

Absolutely 💯 correct
 
Siamini kama ni mwandiko wa Lissu huo
 
Sasa dudukwee na chaba kwani wanajua lisu yupo gerezani
Ok kuna hawa kima wapo hapo daslam kazi ushabiki wa simba na yanga tuu
Dawa ya hawa nyumbu nikuwatosa baharini

Mkuu tafuta chimbo ulambe asali tuu achana na hawa nyumbu kina mashambwa Tlaatlaa
Choicevariable
 
Unampigania mtu kama yericko mrema kigaila mwita nasari mtatiro
Wanafiki wanafiki tuu
Ndiyo maana sitaaa nipige kura tangu nazaliwa sijwahi kupiga kura na sitakaa nipige kura
 
Wasiwasi wangu ni huko kwenye L panavowekwa R.
Akiri badala ya Akili n.k.Ni Lissu kweli huyu kaandika?
 
Kuna mwamba kanunua plant ya songas na nyingine hko kusini
Watanzania wakae mkao wa kuliwa tu ...... watu watakuja kuelewa sana badaye hapo akili zao zikiwa sawa
Sahv Acha tuendele kukata mauno tu

Ova
No sense of proprietorship kwa rasilimali zetu kwa kweli. Si ardhi, madini bahari, maziwa, au misitu.

Yaani utadhani ni neandathals. Wakipata ugali na maharagwe kwisha habari yao. Wanaenda kulala na kuujaza ulimwengu kama sio kutazama na kushangilia soka.

Na wale wanaomnonga na kumpiga vijembe Lisu huku mtandaoni kwamba hakuna aliyemtuma au eti anapigania watu wasiojitambua hata hawajielewi kuwa nao bado ni paesano ambao zaidi sana wnatumika tu.

Ila saa ya kuamka ipo tu na itakuja kwa wakati wake kama ubatizo wa moto.

Majuto yangu ni kuwa kwa nchi kama hii bongo yetu na watu wake mabadiliko chanya yangeweza kuletwa kwa amani kabisa bila hofu kwa vizazi vijavyo.

Najua Lisu sio crybaby wa kuhitaji sympathy lakini namtakia heri all the same.

“We must jump the barrier of the worst,run the perilious race, hunt on even beyond, cut to pieces the wicked one, and finally disappear without too much paraphernalia.
A faint thanks given and received and nothing more”.
 
Nyuma ya kila kitu kuna kila kitu. Nyuma ya jambo la kifizikali kuna jambo la kiroho linalotawala. Nitakuwa wa mwisho kuafiki kuwa kuondoa jambo la kifizikali kunaondoa jambo la kiroho.
Je! inawezekana kunyonga roho?..
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Hicho tu?

Means akimwachia Lisu unaendelea kumkubali mama?

Kwangu mimi huyu ndio rais wa hovyo zaidi kuwahi kutokea hapa tz
Ndo rationale na types za Watanzania anaowapigania Lissu hizo!

Samia, under any other normal circumstances, doesn’t have the requisite presidential qualifications!

Lakini mtu anakuambia sababu pekee ambayo inamfanya asimkubali ni Lissu kufungwa!

A significant majority of Tanzanians are very shallow and parochial in their thinking.

But, I believe in the human and democratic rights of people.

And one of those rights is the right to be stupid.

Tundu Lissu and Co. wana kazi ngumu sana aisee.
 
YANGA + SIMBA= UPUMBAVU WA WABONGO. Wahuni wekezeni sana kwenye boli mzidi KUWAPUMBAZA na kuongeza WAJINGA! Ichoteni nchi sana wao wakikaa kubishana boli. Kila siku weka waandishi wa habari machawa wa kuibua agenda na hoja mbalimbali kujadili ball la YANGA na SIMBA, Lissu, Polepole, Gwajima, Mpina etc. MUNGU amewapa upeo na maono timizeni wajb wenu kulingana na maandiko ya Mungu mtalipwa pakubwa mno.
 
Tanzania siyo Kenya. Watanzania kitu pekee muhimu ni nchi yao kuwa na amani. Kukiwa na amani kila mtanzania ataweza kufanya kazi na kuishi kwa jasho lake kulingana na urefu wa kamba yake. Asiyefanya kazi na asile isipokuwa watoto na walemavu ambao watalishwa na wale wenye uwezo wa kufanya kazi. Tanzania ni nchi yenye ardhi kubwa yenye rutuba ambayo kila mtanzania a,naweza kulima na kupata chakula na mahitaji mengine muhimu. Watanzania hawahitaji kuajiriwa ili waishi. Kila mmoja ana uwezo wa kuwa na ardhi ya bure ya kumwezesha kula na kuishi kwa kufanya kazi ya kilimo.
 
Pipozzzzzz Pawaaaaa… Aya kunja ngumi kamanda nenda kashambulie pale Ukonga Mwenyekiti asiendelee kulala kwenye maji machafu
Dah nyie ndo wale mnaua mbaki madarakni kwasababu ya mihekalu yenu ya kifisadi mbweni na Dubai.
 
Hapo umepigaje mkubwa?

Yapo cheap alafu Dangote nn?
 

Mbona nawe mwenyewe ni mjinga tu
 
Watanzania ni waelewa sana. Walisha mgundua kuwa Lissu sio kiongozi bora kwasababu ni mtu, jeuri, kiburi, majivuno, mlopokaji asiye na breki kwa kifupi hana hekima ya kuwa kiongozi.
Ndio maana watanzania wengi wamemgwaya.

Kalopoka mwenyewe maneno ambayo kila aliyekuwepo pale alimshangaa!! hata yeye mwenyewe alijishangaa na huku akijuliza nitakamtwa na kushitakiwa kwa uhaini.....eti huku akijitia moyo......
Sasa wacha apambane na matatizo yake aliyo yatengeneza mwenyewe.
Ukiwa na kiongozi aina ya Lissu kamwe usimfuate nyuma, atakutumbukiza shimoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…