Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

wacha wewe

Akila kitanzi ndo WAROPOKAJI WATAISHA TANZANIA?
Kila siku vibaka wanachomwa moto huko uswahilini je Vibaka wamekwisha Tanzania?
kila siku elimu juu ya utoaji wa mimba inatolewa na medias mimba hazitolewi tena?
MAGUFULI ALIMFUNGA SETH NA RUGEMALILA KWA UHUJUMU UCHUMI......... JUZI KAIBUKIA KWENYE HARAMBEE YA CCM TENA MBELE YA RAISI SAMIA
WEWE NA WENZIO MLIMWITA MBOWE GAIDI MWISHO WA SIKU MBOWE AKAIBUKIA IKULU NA SASA UNAMWITA SHUJAA
yaani raisi wa nchi akamtoa GAIDI tena mwenye kesi ya KUJIBU na kwenda ikulu KUPIGA NAYE PICHA
Inahitaji usome kiasi gani ili kujua kwamba huyo raisi na wafuasi wake ni WAPUMBAVU
Na ndio maana Serikali, Sheria, mahakama, magereza na adhabu ni endelevu.
 
Sad 😢
BUT TRUTH MUST BE HONEST
===================
Angeachana na huo ukombozi huyo Nae , hao Watanzania anao wapigania hakuna hata mwenye Akili timamu wakisha Kula ugari maharage wanajiona Tayari wapo heaven, so aangalie maisha yake na family yake Watanzania wapo katika idadi kubwa sana ya Ujinga kumuhubiria Haki mtanzania ni sawa na kumvisha dhahabu nguruwe it's a wasting of a time ,

Kama kweli Watanzania wangelikuwa wanahitaji ukombozi mpaka Sasa kitendo Cha kuwekwa kwake Lumande tu kisingeifanya nchi isikalike Kwa amani , nenda tu hapo Kenya serikali ya Rutto haiwezi kuthubutu kumfanyia hivyo Raila odinga maana wanajua kuwa nchi haitokalika watu hawatokula Kwa Raha Wala kulala Kwa Raha , lakini serikali ya tz inafanya hivyo Kwa maana inajua kwamba Ina Wananchi misukule Hawato fanya lolote ,

So lissu angejikeep busy na mambo yake tu , It's enough for now ,

Watanzania Hawa hawa wanafki ndio unao wapigania then utegemee kwamba watakusaidia kupata mabadiliko !? My foot🤔😢

Kwanza hao Watanzania hakuna hata Mmoja ambaye sio mnafiki maana wamekuwa wakijifunza unafki Toka Kwa hao hao viongozi wa vyama vya siasa mfano mdogo ni huu === kama mtu kama mbowe waliye muamini Kwa muda wa takriban miaka 20s now wamekuja kumbaini kuwa ni mnafki and the likes Hammuoni kuwa hiyo inachangia kushusha morality ya Wanachama na mashabiki wa chama husika

Maana mwisho wa siku watu wanakuwa wanajiuliza WHO ARE WE SUPPOSED TO TRUST THEM !?

Unakuta watu wanaogopa kuendelea kuunga Juhudi za Wana siasa halafu mwisho wa siku wakaja kujikuta kumbe walikuwa wanatumika maana siasa imechangia kupotea Kwa watu /kufa Kwa watu / baadhi ya watu kuwa vilema , kufilisika and the likes kwaajili ya kuwaamini watu wapumbavu na wanafki waliokuwa wanajifanya kuwa ni wakombozi wa Watanzania kumbe ni vibaraka ,

Honestly lissu anapitia wakati Mgumu sana cause amekichukua Chama na kukiongoza katika kipindi ambacho Watanzania wengi walikuwa Wana kiunga chama mkono wamekatishwa tamaa na mwenye kiti Aliyekuwa ametangulia hapo Awali so it's hard more than hard kurejesha tena Ile morality and trust ya Watanzania Kwa chadema ,Maana watu wanakuwa na maswali mengi kichwani mwao kuhusu Ukweli na uaminifu wa viongozi wa chama hicho baada ya watu hao hao kujeruhiwa vibaya na waliokuwa viongozi ambao walikuwa Wana waamini Huko nyuma lakini kumbe ni vibiraka ,

Ukija kujumlisha na Ujinga wa Watanzania ndio kabisaaa sioni kama Lissu anaweza kutimiza malengo ya ndoto zake na malengo ya chama chake ,

Watanzania ni wajinga plus ma coward
Kwa hivi ulivyoandika,wakipatikana Kila mkoa hata wawili,ukombozi ni Hakika!
 
Kuna umri wengine tunagonga sasa, sio kutukana tu hata kusoma matusi inaanza kuwa kero.

Like seriously moderators walau muongeze policing kwenye hili jukwaa.

Embu ondoeni watoto wa mtaani kwenye hili jukwaa.

Yaani watu wanatukana watu na kudhani it’s OK, kama JF aina quality manager.

Hii sasa ni platform kubwa lazima kuwe na strikes kwa members na mwisho kufungiwa.

Wakatukanane huko chit-chat; wengine ni Middle-Aged man sasa.
 
Sasa yupi mjinga?

Anayepambania watu wasiomjjali au anayepambania maisha yake na kuachana na ya wengine?
Inategemea Maana katika siasa hakuna zuri Wala baya

Ubaya wa jambo / uzuri wa jambo unategemea na mahali utakapo kuwa umeegemea
 
Niliwahi kusema, Njia aliotumia kupambana ni sahihi lakini sio sahihi. Mana ili uweze kupambana kwahiyo njia unahitaji mass support ya kikweli kabisa, na mass sio support sio mitandani bali mtaani.

wale wazee wa NRNE utakutana nao twitter tu, hata kukinukisha mpka hii leo wameshindwa. Pumbav kabisa.
 
Ila inaonekana anayelazimishwa awe mshindi ataendesha nchi kwa tabu sana. Yetu macho
 
Hili ndio tatizo kubwa la CDM fantasy

Wapi duniani umeona kunako chimbwa makaa ya mawe wenyeji wakawa matajiri.

Hakuna bidhaa cheap duniani kama makaa ya mawe.

Huko kusini wananchi waache kutajirika na mazao ya biashara watajirike na makaa ya mawe.

Dangote alikuwa anaagiza makaa ya mawe kutoka S.A kuleta Tanzania kwa sababu logistic ni cheap kuliko kununua huko kusini.

Halafu mtu atakwambia kaona małori ya makaa ya mawe yanakatiza mpaka namanga tele.

Kuna mfanyabiashara gani atapandisha małori kutoka kusini hadi Kenya kwa sababu ya makaa ya mawe si faida yote inaishia kwenye mafuta tu.

Wakati bandari ya Mtwara ina storage na kushusha na kupandisha kila siku makaa ya mawe.

Shida yenu CDM ni unrealistic goals, mbaya zaidi mnajiaminisha huo uongo na kudhani Tanzania nzima sisi sote vichwa panzi.

Ndio maana watu wengine ujiuliza Lissu akishakuwa raisi and then what? Kwa uropokaji wa hovyo hivi ili mradi tu. Makaa ya mawe yana hela gani.
Mkuu uko deep asante kwa madini
 
😄😤 You said it all chief, mimi mpaka huwa najiuliza hivi ni kweli TAL yupo kwaajili ya kuwapigania waTZ kweli?? Like for real?? Hao waTZ ni WA wapi?? 😂😂😂Unawapigania watu ambao wao wenyewe hawajui kama wapo kwenye mapambano, ukiwatoa wale top Elites ambao wapo mstari wa mbele kupinga na kulaani vikali baadhi ya mambo yanayoendela kwenye SOCIALS hivi umeshaenda mtaani huko kwa watanzania wa maisha ya kawaida? Trust me Kuna watu hata hawana habari what's really going on na hii SAGA ya TAL achilia mbali wale wasiojua hata kama jamaa yupo jela, ndio maana nasema unless otherwise kuwe na kitu kingine anakipigania lakini kwakusema anawapigania waTZ hapo nakataa, kuna namna unaona TAL alipaswa kuwa nchi kama Kenya wanaojua Nini maana ya harakati lakini sio sisi waTZ ambao ukitununulia pombe ukatuwekea na mziki na wanawake tunasahau shida zetu zote.
You nailed it bro.
 
Aache kulialia hakuna aliyemtuma kuwasemea hao anaowaita watanzania. Ni jambo la ajabu kuwa anawapenda zaidi watanzania kuliko anavyojipenda. Nna wasiwasi km kwl ni yeye ndio kaandika hii barua maana kuna watu wanataka watumie kila njia kuleta uchochezi, nia ya huyu mwandishi ni kuwachochea watanzania labda waingie barabarani wamtoe kwa nguvu, hii ni aina ya uasi, serikali iwe makini na uchafu km huu. Hao watu wamesoma historia vizuri wanajaribu kila mbinu zilizotumika zama zile ili watu waiasi serikali iliyoko madarakani. Na JF mara nyingi imekuwa sehemu ya kusupport upuuzi km huu vinginevyo wangeshaufuta huu uzi. Ni threads nyingi nimeandika wamezifuta na zingine haaakurusha kabisa, ila ninyi JF muelewe hakuna nchi nyingine ya kuishi labda km Mello Maxence siyo raia km ambavyo nna wasiwasi
Well put mkuu, hata mimi naona kama siyo mwandiko wa Tundu
 
Unavuta tani luluki kutoka kwenye coal mine kwa train mpaka port (unapata economies of scale).

Port unapakia tonnes luluki ndani ya meli unapata economies of scale.

Mtwara na Lindi ni pua na mdomo you save a lot.

Songea na Lindi ni karibu, kuliko Lindi na South Africa, changamoto logistic unahitaji lorry ngapi kukidhi inventory ya Dangote na charge kiasi gani ya kila trip.

Ukipiga hesabu zako jibu, SĄ to Lindi ni cheap.

Ndio msingi wa Dangote kuleta ma-lorry yake ili aweze control haulage costs.

Sasa huyo Rostam aache bandari ya Mtwara, akodishe malorry mpaka Kenya; faida si inaishia kwenye mafuta tu.

Makaa ya mawe hayana hela, faida ipo kwenye economies of scale tu.

Huko kusini bora muwashawishi wajikite na mazao ya biashara tu, wasuburi LNG plant hapo sasa unaweza lalamika.

Vinginevyo duniani kote kunakochimbwa makaa ni ajira tu, vinginevyo umaskini uwa ni pale pale.
Shule nzuri sana ya industrial economics umetoa mkuu Mayor Quimby
 
Mimi nasema kila siku sina tatizo na TAL, shida ni hawa watanzania wanaopiganiwa, laiti hata sekunde moja Lissu angejua aina ya watu anaowapigania basi ama kwa hakika angelia mno.

Waone hawana hata habari masikini 😤
Sio watanzania, ni WATANGANYIKA mkuu, wazanzibar wala hawana habari na TAL.
 
Hv we ni msemaji wa watamzania? Huna ht haya we kenge? Ht hivyo watanzania siyo wapumbavu km huyo lofa na wafuasi wake km wewe. Mtaandika kila uchafu lakini hamtafanikiwa ht nukta. Mambwa koko nyie , pambaneni na maisha yenu, huyo lofa ndg zake na wazazi wake maskini wa kutupwa eti anawahangaikia watanzania? Mnafiki mnaha mkubwa huyo ni kibaraka linalotumiwa na wazungu kutuharibia nchi yetu. Ameshindwa sasa analialia. Hamwezi kuwaburuza watanzania kwa upumbavu wenu. Bora ht Mbowe na familia yale wana maendeleo, huyo fukara aanze kwanza kwao mtu ht duka hana, ndio hajui maana ya shamba, ng'ombe kwake ni mnyama wa porini eti awaletee watanzania maendeleo? Ajabu! Akafie huko mbwa koko tu huyo
Mimi ni mfuasi wa wanaotaka amani halafu ni mwanaccm sio cdm,lakini ukweli utasemwa mpende msipende
 
ila ninyi JF muelewe hakuna nchi nyingine ya kuishi labda km Mello Maxence siyo raia km ambavyo nna wasiwasi
Mawazo ya kupambana na vyombo vya habari badala ya kutafiti habari inayotolewa na hivyo vyombo ili kujua mbivu na mbichi ni ya kijima sana.

Kwa hiyo unataka JF ifunge watu midomo!?
Kabla hujamtuhumu Melo, pambana kwanza na mitandao mingine ya kijamii(Instagram, X na mingine).
 
Pole sana Mnyampaa, hauko peke yako tuko pamoja. Unalipenda Taifa lako kwa moyo wa dhati, Mungu hatakuacha peke yako utashinda na amekuandalia njia nyeupe kuliongoza Taifa hili.
Kushinda kesi anaweza lakini kuiongoza Tanzania kama Rais nasema BIG NO.
 
Hili mama lako ni katili kuliko rais yeyote aliwahi kutawala hii nchi
Magufuli alimpiga Tundu risasi 36 mwilini akitaka kumuua, Samia kamfungulia mashtaka ya uhaini tu ambapo anaweza Tundu kushinda. Je nani katiki kumzidi mwenzie?
 
Back
Top Bottom