MHUNI TU HUYU ANAMPIGANIA NANI ALIYEMWAMBIA ANATAKA KUPIGANIWAAkiwa free namuomba aachane na swala la kupambania MTU anaitwa mswahili au mbongo is waste of time and energy .
MHUNI TU HUYU ANAMPIGANIA NANI ALIYEMWAMBIA ANATAKA KUPIGANIWAAkiwa free namuomba aachane na swala la kupambania MTU anaitwa mswahili au mbongo is waste of time and energy .
Mwambieni huyo Lisu wenu hakuna mtanzania alimwandikia barua ampiganie njaa yake ndio inamsumbua ndio maana watanzania hawajali ahukumiwe au la atajijua apambane na hali yakeInapatikana kwenye akaunti ya View attachment 3442146
Hapo kwenye economies scales ya Makaa ya Mawe, logistics, transportation ya kwenda Kenya kutoka Mtwara (sijaelewa nani aliesema hivi), kuhusu transportation ya kutoka Lindi to SA kwamba ni rahisi zaidi na ina faida hapa pia umeniacha unamaanisha nini?Itasaidia kusema wapi ujaelewa, ili nieleze ambapo ujaelewa.
Naunga mkono hoja😥🥹
Ila watanzania sisi njaa na unafki vinatuponza.
Lissu akitoka apumzike wanaopiganiwa washajikatia tamaa..!!
haya ndiyo matokeo ya wizi wa mitihani sasa? shaka s. shaka DC. ameolewa na salum mpelembwe wa Tanga kwa hiyo na yeye alikuwa mahabusu?UTAHENYA UNAANZA KUTAFUTA HURUMA KWA NANI? WEE ENDELEA NA NRNE YAKO HUKO GEREZANI NA NGOJA WANFUNGWA WA KUNYNGWA WAJE WAKULE NA HUKO FASI YA KUYAMBA HAKUNA MTU ANAKUHURUMIA UNATAKA KUHARIBU TAIFA LETU KWA TAMAA ZAKO HALAFU UNAJIFANYA UNAMTETEA NANI KUNGUNI LISSU ACHANA NA SISI WALA HAKUNA ANAYEKUHURUMIA ENDELEA KUSOTA HUMO NDANI
Mama yako na Bibi yako kule kijijini kwenu ambako Wahuni wanasomba Makaa ya Mawe na kwenda kuyauza bila kuwapa nyinyi wenye Makaa ya Mawe yenu hata 100 mbovu, Bibi na Mama yako anaetumia kuni na kupigwa na moshi mpaka leo ndie anaempiganiaMHUNI TU HUYU ANAMPIGANIA NANI ALIYEMWAMBIA ANATAKA KUPIGANIWA
😭😭😭😭Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo.
Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza.
Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania ndio siku ambayo nilishambuliwa na marisasi mwili mzima, nilikata katu kuwa mnafiki wa taifa langu nitasema ukweli na kusimamia ukweli.
Hata mke wangu alinishanga kusema narudi Tanzania pia watoto wangu hivyo hivyo wao kutokana na hofu jinsi walivyo nishuhudia nusu marehemu hawakuwa na hamu kubaki Tanzania waliathiriwa pakuwa na tukio hilo hata nilipowaambia narudi Tanzania sikuwalaumu maana walijua narudi kuja kujitoa kafara upya, ila moyoni mwangu nilisema ukweli umweka mtu huru, bado nalipenda na nitaendelea kulipigania taifa langu la Tanzania
Siku natamka kwa habari ya No, Reforms No Election haikuwa kosa,
Siku nasema hadi "kieleweke" haikuwa kosa, ni hadi pale niliposema "WANAIBA NA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE AMBAYO KWA MIAKA YOTE HAKUNA MTANZANIA KAFAIDIKA NAYO KWA MIAKA 100 WATU WA ENEO HILO WAMEKUWA MASKINI ILA WAMEKALIA MAKAA YA MAWE AMBAYO KILA DAKIKA MAGARI KWA MALORI YANASAFIRISHA NJE YA MPAKA WA TANZANIA " Kumbe nilikuwa navuruga Ugali wa mapapa wa taifa hili " hao mapapa wa taifa hili, hao wahuni wa taifa hili" sasa nimefunguliwa mashitaka ya kutaka kupindua nchi " mikononi mwangu sina bunduki wala sina mafunzo ya jeshi cha kushangaza zaidi, mtu mmoja tena ambaya sina hata jeshi wala sina kikundi cha ulinzi hata mgambo nimepewa kesi ya uhaini _
Watanzania nimepitia mazito nikiwa huku, nimewekwa mahali ambapo kuna maji taka hata kuchanganywa na wafungwa wa kunyongwa kiafya ya akili inaumiza namna gani, ? hata kudhuria ibada au kunyoosha hata mwili kwa ajiri ya kesho yangu vyote nimebanwa na yote haya napitia sababu ya kuwasemea watanzania katika ile kweli ambayo siku zote humweka mtu huru.
Sitaandika mengi,
Watanzania wawe mahakimu kama wameruhusu niendelee kuteseka hivi hivi na kuumizwa hivi hivi kisa wao acha kikombe hiki nikinywe ila kama sio watanzania wanaonishitaki na kesi hii (public prosecutions) basi dua zenu, maombi yenu, ujasiri wenu na hekima zenu zitaniepusha na kikombe hiki cha mimi kunyogwa kisa kusimamia ile KWELI, Msikubali kuyumbishwa kwa dhana yoyote ile NO, REFORMS NO ELECTION.
DR WILLIAM ASANTE KWA KUNIFIKISHIA UJUMBE WANGU KWA WATANZANIA ! WACHA WAO NDIO WAMUE, MWISHO.
Anapambania familia zenu na watoto wenu mkuu ambao mpo mpo Kama misukuleMHUNI TU HUYU ANAMPIGANIA NANI ALIYEMWAMBIA ANATAKA KUPIGANIWA
Uko sahihiMHUNI TU HUYU ANAMPIGANIA NANI ALIYEMWAMBIA ANATAKA KUPIGANIWA
Sasa kama sisi hatuna habari, imekuwa kama haituhusu, ya nini kuendelea kuhatarisha maisha yakeYeye anachomesha madili ya Wakubwa na kutufumbua Macho kwamba hawa wangese wanawaibia nyinyi hii Nchi ni yetu msiwaache hawa wanawaibia tu kingesengese
Wewe mbona umeolewa na Lema na tumekaa kimnyaha
haya ndiyo matokeo ya wizi wa mitihani sasa? shaka s. shaka DC. ameolewa na salum mpelembwe wa Tanga kwa hiyo na yeye alikuwa mahabusu?
Mpaka ukome. Kama hujui kuutumia mdomo wako ukabaki unaropoka tu hiyo ndio dawa ya mropokaji kama wewe. Na bado hadi ule kitanzi!Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo.
Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza.
Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania ndio siku ambayo nilishambuliwa na marisasi mwili mzima, nilikata katu kuwa mnafiki wa taifa langu nitasema ukweli na kusimamia ukweli.
Hata mke wangu alinishanga kusema narudi Tanzania pia watoto wangu hivyo hivyo wao kutokana na hofu jinsi walivyo nishuhudia nusu marehemu hawakuwa na hamu kubaki Tanzania waliathiriwa pakuwa na tukio hilo hata nilipowaambia narudi Tanzania sikuwalaumu maana walijua narudi kuja kujitoa kafara upya, ila moyoni mwangu nilisema ukweli umweka mtu huru, bado nalipenda na nitaendelea kulipigania taifa langu la Tanzania
Siku natamka kwa habari ya No, Reforms No Election haikuwa kosa,
Siku nasema hadi "kieleweke" haikuwa kosa, ni hadi pale niliposema "WANAIBA NA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE AMBAYO KWA MIAKA YOTE HAKUNA MTANZANIA KAFAIDIKA NAYO KWA MIAKA 100 WATU WA ENEO HILO WAMEKUWA MASKINI ILA WAMEKALIA MAKAA YA MAWE AMBAYO KILA DAKIKA MAGARI KWA MALORI YANASAFIRISHA NJE YA MPAKA WA TANZANIA " Kumbe nilikuwa navuruga Ugali wa mapapa wa taifa hili " hao mapapa wa taifa hili, hao wahuni wa taifa hili" sasa nimefunguliwa mashitaka ya kutaka kupindua nchi " mikononi mwangu sina bunduki wala sina mafunzo ya jeshi cha kushangaza zaidi, mtu mmoja tena ambaya sina hata jeshi wala sina kikundi cha ulinzi hata mgambo nimepewa kesi ya uhaini _
Watanzania nimepitia mazito nikiwa huku, nimewekwa mahali ambapo kuna maji taka hata kuchanganywa na wafungwa wa kunyongwa kiafya ya akili inaumiza namna gani, ? hata kudhuria ibada au kunyoosha hata mwili kwa ajiri ya kesho yangu vyote nimebanwa na yote haya napitia sababu ya kuwasemea watanzania katika ile kweli ambayo siku zote humweka mtu huru.
Sitaandika mengi,
Watanzania wawe mahakimu kama wameruhusu niendelee kuteseka hivi hivi na kuumizwa hivi hivi kisa wao acha kikombe hiki nikinywe ila kama sio watanzania wanaonishitaki na kesi hii (public prosecutions) basi dua zenu, maombi yenu, ujasiri wenu na hekima zenu zitaniepusha na kikombe hiki cha mimi kunyogwa kisa kusimamia ile KWELI, Msikubali kuyumbishwa kwa dhana yoyote ile NO, REFORMS NO ELECTION.
DR WILLIAM ASANTE KWA KUNIFIKISHIA UJUMBE WANGU KWA WATANZANIA ! WACHA WAO NDIO WAMUE, MWISHO.
Ufahamu wako ndipo ulipoishia?Aache kulialia hakuna aliyemtuma kuwasemea hao anaowaita watanzania. Ni jambo la ajabu kuwa anawapenda zaidi watanzania kuliko anavyojipenda. Nna wasiwasi km kwl ni yeye ndio kaandika hii barua maana kuna watu wanataka watumie kila njia kuleta uchochezi, nia ya huyu mwandishi ni kuwachochea watanzania labda waingie barabarani wamtoe kwa nguvu, hii ni aina ya uasi, serikali iwe makini na uchafu km huu. Hao watu wamesoma historia vizuri wanajaribu kila mbinu zilizotumika zama zile ili watu waiasi serikali iliyoko madarakani. Na JF mara nyingi imekuwa sehemu ya kusupport upuuzi km huu vinginevyo wangeshaufuta huu uzi. Ni threads nyingi nimeandika wamezifuta na zingine haaakurusha kabisa, ila ninyi JF muelewe hakuna nchi nyingine ya kuishi labda km Mello Maxence siyo raia km ambavyo nna wasiwasi
Ipi inafaida kwako kibiasharaHapo kwenye economies scales ya Makaa ya Mawe, logistics, transportation ya kwenda Kenya kutoka Mtwara (sijaelewa nani aliesema hivi), kuhusu transportation ya kutoka Lindi to SA kwamba ni rahisi zaidi na ina faida hapa pia umeniacha unamaanisha nini?
Tatizo hilda newton kule X habari zake huwa haziaminiki.Inapatikana kwenye akaunti ya View attachment 3442146
Akila kitanzi ndo WAROPOKAJI WATAISHA TANZANIA?Mpaka ukome. Kama hujui kuutumia mdomo wako ukabaki unaropoka tu hiyo dawa ya mropkaji kama wewe. Na bado hadi ule kitanzi!