Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

ULISOMA MPAKA LA NGAPI? SIJAULIZA WAPI WALA ULISOMA NN
JIBU KAMA MTU MZIMA
Unajua maana na faida za maandamano?
yanaruhusiwa kwa mujibu wa sheria?
mara ya mwisho uliandamana lini na ukiwa wapi?
Sijasoma kabisa, wewe msomi tumia hiyo elimu yako kuhamasisha watu waandamane. Mnachoshindwa ni nini wasomi?? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kunjaaaaa ngumiiii kamandaaaaa, aya zungushaaaaa pipoooooozh
Hii pipoz na kunja ngumi umenikumbusha mara ya kwanza nimemshuhudia mbowe jukwaani 2005.
Nikiwa bwana mdogo bado nilirudi maskani nikawaambia wazee wangu kuna mwanasiasa nimemuona atawasumbua watawala ,20 yrs later kumbe jamaa ni mfumo πŸ˜‚
 
Lipumbavu lingine hili hapa
 
Una kitu utafika mbali
 
Kitu pekee kilichonifanya nimkatae Mama ni hili suala la Lissu, linaniumiza sana.

Duniani hapa watawala wote wana asili ama ya Mungu au ya shetani...

Sasa utafakari utawala wa CCM kila awamu, moyoni mwako utaweza pata jibu kila awamu asili yake ni upande upi...
 
Wasiwasi wangu ni huko kwenye L panavowekwa R.
Akiri badala ya Akili n.k.Ni Lissu kweli huyu kaandika?
Kweli mkuu, Tundu hawezi andika kiswahili kibovu namna hiyo.
 
Ukichamba sana, lazima uyavagae mavi. Maneno yenyewe aliyosema Tundu haya hapa:-

Your browser is not able to display this video.

UNAMWACHAJE huru mtu kama huyu??
 
Lisu atatoka na akitoka atulie au asepe akaishi ughaibuni hii nchi kwenye ukombozi inatiwa ugumu na watanzania wenyewe.
 
Ni kwamba familia yake wanajua kuwa mwamba anaumia kwaajili ya watu wasiojali wala kuona umuhimu wa kile anachokifanya ndio maana hawaungi mkono. Hata humu wengi ni keyboard warriors tu watu wakupiga kelele lakini anaeumia ni mtu mmoja tu.
Sasa ulitaka tufanyaje mkuu?
 
Tatizo la wasomi wa nchi hii wao uzalendo wao unaishia kuhamasisha tu mitandaoni lkn kwenye kuchukua hatua wanataka watu wasio na ajira ndio wachukue hatua kwa kuingia barabarani, wao aaah! Hii haiwezi kuleta matokeo hta iweje
 
Hivi JWTZ kama ni jeshi la wananchi kweli kazi yao ni Nini? Hivi hawaoni mateso ya watanzania na vilio vyao? Pesa / mshahara mkubwa unathamani zaidi ya roho ya mtu? Mungu tupe ibrahimu traore wa Tz
 
Hii pipoz na kunja ngumi umenikumbusha mara ya kwanza nimemshuhudia mbowe jukwaani 2005.
Nikiwa bwana mdogo bado nilirudi maskani nikawaambia wazee wangu kuna mwanasiasa nimemuona atawasumbua watawala ,20 yrs later kumbe jamaa ni mfumo πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata hawa mnaowaamini sasahivi ni suala la muda tu.. Kamanda wa anga alikuwa balaa
 
YESU alikua na wanafunzi 12 tu, Dunia nzima lakini hakuchoka kuhubiri mpaka Leo tunaifurahia injili yake...

Lisu ameanza ila amini mengi yatakuja kupitia kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…