Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

Itasaidia kusema wapi ujaelewa, ili nieleze ambapo ujaelewa.
Hapo kwenye economies scales ya Makaa ya Mawe, logistics, transportation ya kwenda Kenya kutoka Mtwara (sijaelewa nani aliesema hivi), kuhusu transportation ya kutoka Lindi to SA kwamba ni rahisi zaidi na ina faida hapa pia umeniacha unamaanisha nini?
 
ha
haya ndiyo matokeo ya wizi wa mitihani sasa? shaka s. shaka DC. ameolewa na salum mpelembwe wa Tanga kwa hiyo na yeye alikuwa mahabusu?
 
MHUNI TU HUYU ANAMPIGANIA NANI ALIYEMWAMBIA ANATAKA KUPIGANIWA
Mama yako na Bibi yako kule kijijini kwenu ambako Wahuni wanasomba Makaa ya Mawe na kwenda kuyauza bila kuwapa nyinyi wenye Makaa ya Mawe yenu hata 100 mbovu, Bibi na Mama yako anaetumia kuni na kupigwa na moshi mpaka leo ndie anaempigania
 
😭😭😭😭
 
Mpaka ukome. Kama hujui kuutumia mdomo wako ukabaki unaropoka tu hiyo ndio dawa ya mropokaji kama wewe. Na bado hadi ule kitanzi!
 
Basi mrudishie ujumbe huu kutoka kwa watanzania wote kimwili hatupo nae ila kiroho anaishi nasi milele na milele
 

Attachments

  • Screenshot_20250815-154452.png
    126.9 KB · Views: 21
Ufahamu wako ndipo ulipoishia?

Kutaka mabadiliko kwa njia ya kidemokrasia kwako ni 'uasi'!

Akili za panzi hizi nyie!

Kweli Jf ni kokoro lisilobagua cha kuzoa.
 
Ipi inafaida kwako kibiashara

Mfano unauza mafuta ya kupikia.

Biashara yako ipo Dar.

Kuna kiwanda cha mafuta ya alizeti Singida.

Na muuzaji Mwingine yupo India.

Bei India labda 3/4 ya bei ya Singida.

Unahitaji little 100000 kwa mwezi una storage capacity ya miezi mitatu.

Huyu wa India anaweza kukuletea inventory ya miezi mitatu kwa mkupuo mpaka Dar na huku Tanzania inabidi ukodi lorry za kukuletea hayo mafuta mpaka kiwandani kwako.

Sasa piga hesabu ya charge za lorry ambazo zinaweza beba huo mzigo kwa mwezi kutoka Singida hadi Dar.

Na bulk shipment ya miezi mitatu kutoka India mpaka Dar. Yupi nafuu kwa bei na yupi ni more safe kwa inventory control zako.

It makes more sense kama una abc za finance particularly ‘management accounting’.

Ndio msingi wa Dangote kuwa anaagiza makaa ya mawe kutoka S.A na alipozuiwa aliomba apewe muda kwanza wa kuleta ma-lorry yake.

Kwa kifupi ni kwamba kusafirisha makaa ya mawe kutoka kusini hadi Kenya ailipi kwa barabara, atakae toa S.A atamshinda bei anaetoa Tanzania.
 
kati ya mambo ambayo seriksli inahaha ukihuji kuhusu yale makaa ya mawe mapato yake vp??
Lkn pia lissu ni mtu mbaya sana kwenye kujenga hoja nzitonzito kwaio ni tishio kwa serikali ndio maana mnaona yuko lrumande ad sasa
 
Kamanda Lissu usife moyo endelea kutupambania huko Gerezani sisi tuko Jf tunaanzisha nyuzi za Mbususu na kutafuta mademu tunaimani hautakata tamaa kutupambania kamanda.
 
wacha wewe
Mpaka ukome. Kama hujui kuutumia mdomo wako ukabaki unaropoka tu hiyo dawa ya mropkaji kama wewe. Na bado hadi ule kitanzi!
Akila kitanzi ndo WAROPOKAJI WATAISHA TANZANIA?
Kila siku vibaka wanachomwa moto huko uswahilini je Vibaka wamekwisha Tanzania?
kila siku elimu juu ya utoaji wa mimba inatolewa na medias mimba hazitolewi tena?
MAGUFULI ALIMFUNGA SETH NA RUGEMALILA KWA UHUJUMU UCHUMI......... JUZI KAIBUKIA KWENYE HARAMBEE YA CCM TENA MBELE YA RAISI SAMIA
WEWE NA WENZIO MLIMWITA MBOWE GAIDI MWISHO WA SIKU MBOWE AKAIBUKIA IKULU NA SASA UNAMWITA SHUJAA
yaani raisi wa nchi akamtoa GAIDI tena mwenye kesi ya KUJIBU na kwenda ikulu KUPIGA NAYE PICHA
Inahitaji usome kiasi gani ili kujua kwamba huyo raisi na wafuasi wake ni WAPUMBAVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…