Barua ya majibu ya Msekwa kuwajibu Kinana na Makamba hii hapa

Yaani Kinana na Makamba kama vile hawajuwi katiba,sheria,kanuni na utaratibu wa chama walivyojiwekea kwa mujibu wa jibu LA barua ya Mhe
P Msekwa.
 
Msekwa kashinikizwa kujibu mapigo nini? Barua imeandikwa tarehe 15/7 yeye kaipokea tarehe 14/7 kivipi?
Hapana; tr14/07 barua ilikuwa haijasainiwa lakini aliisoma ,akawarudiashia waisaini iwe official ,ndipo 15/07 ikawasilishwa rasmi.
 
Machadema yamebanwa m.a.v.i.
 
Mafao baba

Ova
 
Mzee msekwa kiboko, jamaa wametumia mihemuko, imekula kwao, sasa ndio wanaenda kuzikwa kabisa...
 
Hamna majibu, sanasana kawaambia waache uoga na kujaribu kujificha nyuma ya migongo ya wazee wa baraza, kaendelea kusisitiza wanapaswa kujibu mapigo hadharani
 
Katibu anajibuje barua bila Baraza kukaaa? Kazi ya katibu ni kuandika minutes za kikao Cha Baraza na kuandika kilichosemwa na Baraza anajibuje yeye kama yeye? Msemaji wa Baraza Ni mwenyekiti Sio katibu .Msekwa kakiuka taratibu za Baraza hakutakiwa kujibu yeye Kama yeye bila kushirikisha Baraza. Naona kajisahau anajiona Kama mtendaji mkuu wa Baraza!!!!! Kachemka Tena sana
 
Mzee msekwa kiboko, jamaa wametumia mihemuko, imekula kwao, sasa ndio wanaenda kuzikwa kabisa...
Hakutakiwa ajibu kazi yake ilikuwa kuipokea kwa dispatch kugonga mhuri was received na kuwasiliana na mwenyekiti kuitisha kikao Cha Baraza kuiwakilisha .Baraza litakacjosema ndio yeye Aseme .Eti maelezo ya awali !!!! Yeye Sio msemaji wa Baraza .Msemaji mkuu wa Baraza ni.mwenyekiti Sio yeye.Jambo halijafika kwa mwenyekiti yet analijibi Kama Nani?
 
Msekwa anatoa majibu ya awali kama nani?? Hapo ni kama keshavunja katiba, je kikao kikaja kuamua vingine itakuwaje?
Huyu Mzee kachemka Tena mno hakutakiwa kusema chochote haelewi hata kazi Yake Kama katibu wa Baraza Ni ipi anajiona Kama mtendaji mkui wa Baraza!!!!!! Msemaji wa Baraza Ni mwenyekiti Sio yeye.!!!
 

okay, kwa hiyo barua kaandikiwa yeye kwa nini?
 
Hakutakiwa ajibu kazi yake ilikuwa kuipokea kwa dispatch kugonga mhuri was received na kuwasiliana na mwenyekiti
dispatch ndio anagonga muhuri wa received, sio Katibu.
 
dispatch ndio anagonga muhuri wa received, sio Katibu.
Ofisi ya katibu ndio kazi Yake ndio ina masjala na mihuri ya received ya kugonga kwenye barua .Yeye ofisi Yake ni kupokea barua na kuzipeleka kunakohusika.Akishapata majibu ya kunakohusika ndipo anayatoa kwa mhusika Kama ataagizwa hivyo na mwenyekiti hivyo kuwa toa majibu haya .Lakini Sio kujiinukia tu na kujitia kujibu
 
Reactions: Qwy
Aipeleke kwenye Baraza Ndie karani wao
Kwa nini barua iandikwe kwa karani ?

Mchakato wa ndani ya taasisi wa karani na bosi wanavyopasiana barua wewe inakuhusu nini?

Wewe una matatizo yako unataka kijiji kiyashughulikie. Kwenye barua yako utamu address dereva wa Kijiji kwa sababu ndio ana move barua?
 

🤣🤣🤣🤣
 
Hujaelewa kitu taratibu za ofisi Kuna mtu unaye m address Lakini Sio yeye anayetakiwa kushughulika .Ukiangalia hata alichojibu unaona anajikanyaga anaita majibu ya awali yakisubiri majibu ya Baraza !!!!!! Hicho Ni Kituko alikuwa na haraka ya Nini ya kujibu SI angesema tu barua imepokelewa majibu mtapewa baada ya Baraza kukaaa full stop.Hizo mbio za kutoa majibu ya awali yakisubiri majibu kamili ni kituko gani hicho? Unaona kabisa ana Tatizo Tena kubwa .Yeye alitakiwa tu kusema barua imepikelewa majibu mtapewa baada ya Baraza kukaaa.Full stop
 
Reactions: Qwy
Ofisi ya katibu ndio kazi Yake ndio ina masjala na mihuri ya received ya kugonga kwenye barua .
Masijala na mihuri ya received wewe inakuhusu nini?

In other words, mihuri inayogongwa kwenye barua yako ndani kwa ndani ya taasisi wakati wewe umeshaikabidhi umeondoka, inakuhusu nini?

Unataka barua yako ishughulikiwe na taasisi. Kwa nini usii address kwa taasisi au, at the very least, kwa Mwenyekiti ambae ndie muwakilishi mkuu wa taasisi?
 
Hujaelewa kitu taratibu za ofisi Kuna mtu unaye m address Lakini Sio yeye anayetakiwa kushughulika .

Taratibu za ofisi ya nani???

Umewahi kuandika au kusoma barua ya kiofisi ukiwa nje ya Tanzania?

Barua ikasomwe na Hamisi na Dani, wewe unamuandikia Juma, kwa nini? Eti Juma ndio atawapelekea. Ridiculous. Kukariri vitu tulivyofundishwa darasa la nne ambavyo havi make sense. Muandike barua unaetaka aisome!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…