Barua ya Mdude kwa umma baada ya kupata taarifa anawindwa kuchomolewa uhai

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Chanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter
.........................................................................................

Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za kimataifa,

YAH; VITISHO VYA KUTEKWA, KUUAWA NA KUPOTEZWA.

Utambulisho.
Mimi mtajwa hapo juu ni Mwanaharakati wa Kutetea Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi sasa, Katika kazi hiyo ya kutetea Haki nimekumbana na matatizo makubwa ikiwemo kutekwa mara kadhaa na vyombo vya dola, kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya uongo yakiwemo kusafirisha dawa za kulevya na uhaini kuanzia 2016 mpaka 2023.

Kusudi.
Kwamba mnamo tarehe 18 Septemba 2024 siku ya Jumatano muda wa saa 05:57 jioni, nilipata taarifa kutoka kwa msamaria mwema kuhusu uhai wangu. Msamaria huyo alinijulisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza nitekwe na kupotezwa kabisa katika dunia. Nimeshindwa kupuuza taarifa hizi kwasababu ya matukio mengi ya watu kutekwa na kupotezwa akiwemo mjumbe wa sekretarieti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ambaye alitekwa na watu wenye silaha na pingu akiwa ndani ya basi la abiria kisha baadaye mwili wake ukaokotwa Ununio Dar es Salaam ukiwa umeharibiwa na kumwagiwa tindikali. Lakini pia nimesita kupuuza taarifa hizo kutokana na uhusiano wangu na utawala wa Rais Samia hasa pale serikali yake iliponikamata na kunishikilia kinyume na sheria kwa siku saba mimi na wenzangu kwa tuhuma za uongo za uhaini mwezi August 2023.

Hivyo basi kupitia barua hii nawajulisha ndugu, jamaa, marafiki, watanzania na jumuiya za kimataifa kwamba; lolote baya litakalonipata Rais Samia Suluhu Hassan ndiye atakuwa mtuhumiwa wa kwanza na atawajibika yeye kizazi na kizazi mpaka siku Yesu Kristo atakaporudi,

ma.jpeg
 
View attachment 3100415MDUDE anautoto sana huyu jamaa ni kilaza hamna mfano yaaani anapenda kiki za kijinga sana anapenda akiona wenzie wanakamatwa nayeye anaona kwanini hawajanikamata na mimi ili vyombo vya ahbari vimzungumzie yaaani hata hao chadema anaoonayuko nao wala hawana habari naye hana cheo hata kimoja ndani ya chademalakini yumo tu kutafuta sifa za kijinga happo alipo mwili unamuwasha akamatwe tu ili apate sehemu ya kuongelewa ni upumbavu wa hali ya juu anaoufanya
 
Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za kimataifa,

YAH; VITISHO VYA KUTEKWA, KUUAWA NA KUPOTEZWA.

Utambulisho.
Mimi mtajwa hapo juu ni Mwanaharakati wa Kutetea Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi sasa, Katika kazi hiyo ya kutetea Haki nimekumbana na matatizo makubwa ikiwemo kutekwa mara kadhaa na vyombo vya dola, kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya uongo yakiwemo kusafirisha dawa za kulevya na uhaini kuanzia 2016 mpaka 2023.

Kusudi.
Kwamba mnamo tarehe 18 Septemba 2024 siku ya Jumatano muda wa saa 05:57 jioni, nilipata taarifa kutoka kwa msamaria mwema kuhusu uhai wangu. Msamaria huyo alinijulisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza nitekwe na kupotezwa kabisa katika dunia. Nimeshindwa kupuuza taarifa hizi kwasababu ya matukio mengi ya watu kutekwa na kupotezwa akiwemo mjumbe wa sekretarieti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ambaye alitekwa na watu wenye silaha na pingu akiwa ndani ya basi la abiria kisha baadaye mwili wake ukaokotwa Ununio Dar es Salaam ukiwa umeharibiwa na kumwagiwa tindikali. Lakini pia nimesita kupuuza taarifa hizo kutokana na uhusiano wangu na utawala wa Rais Samia hasa pale serikali yake iliponikamata na kunishikilia kinyume na sheria kwa siku saba mimi na wenzangu kwa tuhuma za uongo za uhaini mwezi August 2023.

Hivyo basi kupitia barua hii nawajulisha ndugu, jamaa, marafiki, watanzania na jumuiya za kimataifa kwamba; lolote baya litakalonipata Rais Samia Suluhu Hassan ndiye atakuwa mtuhumiwa wa kwanza na atawajibika yeye kizazi na kizazi mpaka siku Yesu Kristo atakaporudi,

View attachment 3100415
Kama bwai na iwe bwai..
Kama namuona bwana salum khan wa icc anaigoogle vizuri Tanzania sasa..!
 
Ooohoo kimeumana tayari
 
Back
Top Bottom