Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Barua ni nzito sana imeambatana na laana lipizi isiyo na ukomo hadi ujio wa kristo , ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Rais anaagiza Raia atekwe na kuuawa!Chanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter
.........................................................................................
Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za kimataifa,
YAH; VITISHO VYA KUTEKWA, KUUAWA NA KUPOTEZWA.
Utambulisho.
Mimi mtajwa hapo juu ni Mwanaharakati wa Kutetea Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi sasa, Katika kazi hiyo ya kutetea Haki nimekumbana na matatizo makubwa ikiwemo kutekwa mara kadhaa na vyombo vya dola, kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya uongo yakiwemo kusafirisha dawa za kulevya na uhaini kuanzia 2016 mpaka 2023.
Kusudi.
Kwamba mnamo tarehe 18 Septemba 2024 siku ya Jumatano muda wa saa 05:57 jioni, nilipata taarifa kutoka kwa msamaria mwema kuhusu uhai wangu. Msamaria huyo alinijulisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza nitekwe na kupotezwa kabisa katika dunia. Nimeshindwa kupuuza taarifa hizi kwasababu ya matukio mengi ya watu kutekwa na kupotezwa akiwemo mjumbe wa sekretarieti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ambaye alitekwa na watu wenye silaha na pingu akiwa ndani ya basi la abiria kisha baadaye mwili wake ukaokotwa Ununio Dar es Salaam ukiwa umeharibiwa na kumwagiwa tindikali. Lakini pia nimesita kupuuza taarifa hizo kutokana na uhusiano wangu na utawala wa Rais Samia hasa pale serikali yake iliponikamata na kunishikilia kinyume na sheria kwa siku saba mimi na wenzangu kwa tuhuma za uongo za uhaini mwezi August 2023.
Hivyo basi kupitia barua hii nawajulisha ndugu, jamaa, marafiki, watanzania na jumuiya za kimataifa kwamba; lolote baya litakalonipata Rais Samia Suluhu Hassan ndiye atakuwa mtuhumiwa wa kwanza na atawajibika yeye kizazi na kizazi mpaka siku Yesu Kristo atakaporudi,
View attachment 3100415
Deusdedith Soka wewe ulikuwa unamjua hapo kabla? Ally Mohammedi Kibao wewe ulikuwa unamjua hapo kabla? Mbona walitekwa, Soko hajulikani alipo na Kibao ameshauwawa! Kwa hiyo acha kuupuuza hofu ya Mdude! Lakini pia serikali yako ijue mauaji yote hayo yanarekodiwa kwenye tanuru la moto watakapopitishwa wao na vizazi vyao.Mdude naye wa kuwindwa kutekwa kwa kipi jamani awe anawindwa na Chadema au yeyote mumm
Kiki Kwa pikipikiChanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter
.........................................................................................
Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za kimataifa,
YAH; VITISHO VYA KUTEKWA, KUUAWA NA KUPOTEZWA.
Utambulisho.
Mimi mtajwa hapo juu ni Mwanaharakati wa Kutetea Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi sasa, Katika kazi hiyo ya kutetea Haki nimekumbana na matatizo makubwa ikiwemo kutekwa mara kadhaa na vyombo vya dola, kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya uongo yakiwemo kusafirisha dawa za kulevya na uhaini kuanzia 2016 mpaka 2023.
Kusudi.
Kwamba mnamo tarehe 18 Septemba 2024 siku ya Jumatano muda wa saa 05:57 jioni, nilipata taarifa kutoka kwa msamaria mwema kuhusu uhai wangu. Msamaria huyo alinijulisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza nitekwe na kupotezwa kabisa katika dunia. Nimeshindwa kupuuza taarifa hizi kwasababu ya matukio mengi ya watu kutekwa na kupotezwa akiwemo mjumbe wa sekretarieti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ambaye alitekwa na watu wenye silaha na pingu akiwa ndani ya basi la abiria kisha baadaye mwili wake ukaokotwa Ununio Dar es Salaam ukiwa umeharibiwa na kumwagiwa tindikali. Lakini pia nimesita kupuuza taarifa hizo kutokana na uhusiano wangu na utawala wa Rais Samia hasa pale serikali yake iliponikamata na kunishikilia kinyume na sheria kwa siku saba mimi na wenzangu kwa tuhuma za uongo za uhaini mwezi August 2023.
Hivyo basi kupitia barua hii nawajulisha ndugu, jamaa, marafiki, watanzania na jumuiya za kimataifa kwamba; lolote baya litakalonipata Rais Samia Suluhu Hassan ndiye atakuwa mtuhumiwa wa kwanza na atawajibika yeye kizazi na kizazi mpaka siku Yesu Kristo atakaporudi,
View attachment 3100415
mpumbavu huyo nani amteke? anatafuta kiki za kijinga tuYaani Rais anaagiza Raia atekwe na kuuawa!
Hali ni mbaya sanaChanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter

Mpumbavu wewe ambae Kila kitu kuponda mwisho wa siku unaishia kufa masikinimpumbavu huyo nani amteke? anatafuta kiki za kijinga tu
Mdude anasema Rais Samia Suluhu Hassan... mbona huyo mtu alietajwa ajurikani sasa.Atuweke sawa kua ni Rais wa nchi au Rais wa kikundi?Yaani Rais anaagiza Raia atekwe na kuuawa!
no offence chadema, hainakaa vizuri, ni vema unge verify kwanza kabla ya kupost hayaChanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter
.........................................................................................
Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za kimataifa,
YAH; VITISHO VYA KUTEKWA, KUUAWA NA KUPOTEZWA.
Utambulisho.
Mimi mtajwa hapo juu ni Mwanaharakati wa Kutetea Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi sasa, Katika kazi hiyo ya kutetea Haki nimekumbana na matatizo makubwa ikiwemo kutekwa mara kadhaa na vyombo vya dola, kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya uongo yakiwemo kusafirisha dawa za kulevya na uhaini kuanzia 2016 mpaka 2023.
Kusudi.
Kwamba mnamo tarehe 18 Septemba 2024 siku ya Jumatano muda wa saa 05:57 jioni, nilipata taarifa kutoka kwa msamaria mwema kuhusu uhai wangu. Msamaria huyo alinijulisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza nitekwe na kupotezwa kabisa katika dunia. Nimeshindwa kupuuza taarifa hizi kwasababu ya matukio mengi ya watu kutekwa na kupotezwa akiwemo mjumbe wa sekretarieti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA ambaye alitekwa na watu wenye silaha na pingu akiwa ndani ya basi la abiria kisha baadaye mwili wake ukaokotwa Ununio Dar es Salaam ukiwa umeharibiwa na kumwagiwa tindikali. Lakini pia nimesita kupuuza taarifa hizo kutokana na uhusiano wangu na utawala wa Rais Samia hasa pale serikali yake iliponikamata na kunishikilia kinyume na sheria kwa siku saba mimi na wenzangu kwa tuhuma za uongo za uhaini mwezi August 2023.
Hivyo basi kupitia barua hii nawajulisha ndugu, jamaa, marafiki, watanzania na jumuiya za kimataifa kwamba; lolote baya litakalonipata Rais Samia Suluhu Hassan ndiye atakuwa mtuhumiwa wa kwanza na atawajibika yeye kizazi na kizazi mpaka siku Yesu Kristo atakaporudi,
View attachment 3100415
Anataka ajiteke ajiue, kisha ajipoteze kabisa.Kwa hiyo anajiandaa ajiteke na ajiue?🤔