Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Kama ana impact mbona amekuwa anatekwa na kubambikiwa kesi za uongo.HUYU MAKU ANA IMPACT GANI KWENYE NCHI ??? ANAONGEA YEYE KAMA NANI ?? ALAFU TANZANIA TUNA WATU WAJINGA WAJINGA WENGI SANA AMBAO WANAZINGATIWA NA JAMII SIJUI KWA LIPI LA MAANA !
HUYU MDUDE SIJAWAI KUMUELEWA HATA SIKU MOJA YAN KUNA MUHUNI HUKO ANAMTISHA ETI ANATAKA KUULIWA KWA LIPI ALILOKUWA NALO
AKITOKEA MTU AKAMPIGA HATA KOFI AKIZIMA ITAONEKANA MAMA SAMIA NDIO KAMTUMA ASKARI AMCHAPE KOFI AFE NA BADO WABONGO WATAAMINI KWA KUWA KUWA WAMEZOEA KUAMINI KILA WANACHOKIONA NDIO MAANA KIBOKO YA WACHAWI KAJA NA KIBEGI KAONDOKA NA DOLA ZA KUTOSHA KWA AKILI NDOGO ZA WATANZANIA.
Binafsi ccm siwakubali kwa namna wanavyotupeleka ila hawa chadema ndio siwaelewi kabisa kama hawana cha kufanya ni bendera fuata upepo tu. Wakurupukaji wanaenda na upepo na matukio yao mengi yanakuwa na double standard kiufupi chadema ni jana janja hawajui washike lipi
Think big, TUMIA AKILI ZAKO ZA KUVUKIA BARABARA kidogo utaelewa