Barua ya Mdude kwa umma baada ya kupata taarifa anawindwa kuchomolewa uhai

Barua ni nzito sana imeambatana na laana lipizi isiyo na ukomo hadi ujio wa kristo , ngoja tuone
 
Yaani Rais anaagiza Raia atekwe na kuuawa!
 
Mdude naye wa kuwindwa kutekwa kwa kipi jamani awe anawindwa na Chadema au yeyote mumm
Deusdedith Soka wewe ulikuwa unamjua hapo kabla? Ally Mohammedi Kibao wewe ulikuwa unamjua hapo kabla? Mbona walitekwa, Soko hajulikani alipo na Kibao ameshauwawa! Kwa hiyo acha kuupuuza hofu ya Mdude! Lakini pia serikali yako ijue mauaji yote hayo yanarekodiwa kwenye tanuru la moto watakapopitishwa wao na vizazi vyao.
 
Kiki Kwa pikipiki
 
Hali ni mbaya sana
 
no offence chadema, hainakaa vizuri, ni vema unge verify kwanza kabla ya kupost haya
 
Msamaria Mwema ndio Nani??###Unfinished Business###
 
Kiarabu tangu aanze kuchimba mafuta hajawahi kujenga mpiji
 
Pole sana mdude Sasa mbona barua yako Ina lugha ya kinyonge Sana tofauti na ninavyokujua kaka ?
Embu paza sauti kwa radi kama Simba kama nilivyokuzoea ili hata watekaji wasikubebe kinyonge kaka ,haujaona boni yai alivyowatoa jasho wavaa khaki hawakumbeba kizembe ulikuwa ni patashika nguo kuchanika mpaka OCD akaagiza apelekewe nguo maana alipambana Sana .

Anyway pole Sana ila jiamini na amini tunapita Mara moja hivyo yaweza kuwa ndiyo njia yako kuiendea akhera ila tulipofikia kama nchi sio pazuri hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…