Barua ya Mdude kwa umma baada ya kupata taarifa anawindwa kuchomolewa uhai

Kama ana impact mbona amekuwa anatekwa na kubambikiwa kesi za uongo.

Think big, TUMIA AKILI ZAKO ZA KUVUKIA BARABARA kidogo utaelewa
 
Hii hatari kubwa mbele yetu, tujitathmini na kuchukua hatua.
 
Nani alikuwa anamjua mzee Ally kibao, Sativa, lakini ona walipoishia kwa hiyo tusidharau tuhuma aiseee.
 
Acheni uuaji
 
Hii hatari kubwa mbele yetu, tujitathmini na kuchukua hatua.
wamejipanga na tumepanguliwa!
vijana ambao ni nguvu kubwa ya taifa wamehakikisha wameitawala kwa kiasi kikubwa na huwenda tulishilikishwa kuhakikisha vijana hasa wa kiume hawawezi kujisimamia.
wamewaelekeza kwenye starehe zaidi na kupata fedha kwa njia za kubahatisha huku wao kwa njia moja au nyingine wakijinufaisha kwa bidhaa wanazotumia vijana.
kuna vijana wenye taaluma kubwa ambazo zingeweza kuinufaisha jamii kama uwalimu wametumika kwenye shughuli zisizo halali na jamii tukafurahia.
kundi kubwa la vijana limewekwa nifikirie leo lakini wao wanawajenga vijana wao washike mema ya nchi ikiwemo raslimali za nchi na utawala wakati wa kwetu waliobahatika watakuwa chawa wa kuwaitikia ndio mzee.
nafsi zetu zinaelewa haya na tunaona kabisa tunakokwenda sio kuzuri lakini tumeshindwa kujenga daraja la mapunguvu haya hata kwa kuongea ukweli.
naogopa maisha ya uzeeni kwakuwa tutaulizwa maswali mengi yanayoweza kutupa kihoro kwakuwa majibu yetu yatakuwa machache kuliko maswali tutakayoulizwa, kinyume kabisa na matarajio na nafsi zetu zitatusuta huku tunabaki na majuto ni mjukuu tukijilaumu bila kukoma na ningejua nyingi.
hivyo wakati ni sasa ni si mwingine na inawezekana kwa kuanzia level ya familia kwa kuwaeleza vijana wetu vile tuvionavyo vya msingi kwao ili waweze japo kusimama dede huwenda kesho wakatembea na kulipigania taifa katika haki na kweli iliyotushinda sisi. vinginevyo tuwaaminishe kuwa simba ni mkali aliuwa baba akauwa mama na wao wakimbie.
 
.
 
Katekwa kaanza kulia pamoja na barua yake.
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…