Lakini sio barua ya mwaliko. Tunajaza hizo form mara kwa maraSababu ya safari ni moja ya mahitaji
Passport si haki ya kila mtanzania??
Kwann kuna vikwazo??
Aisee Moja ya vigezo vyao ambavyo huwa vinaniudhi na kukera ni pamoja na hicho Cha barua ya mwaliko!!
Upumbavuu mtupu, yaani kuondoka hapa nchini mpaka nipate mwaliko huko ninakoenda??? Na je kama ninaenda kwa ajili ya kufanya exploration na kuangalia fursa za kiuchumi zilizoko huko???
Hivi hii nchi mbona Ina maudhi mengi kiasi hiki??? Ni lini tutatoka kwenye hizi bureaucracies za kipumbavvu kipumbavvu??
Haya nimepawa barua ya mwaliko, nikwambie Tena huyo mwenyeji wangu aambatanishe copy ya passport yake, hivi kwa dunia ya leo ilivyoharibika hii mtu anaweza akakupa tu copy ya nyaraka muhimu kama passport kirahisi rahisi hivyo???
Kwa hiyo wametengeneza mazingira ya makusudi hili karibu wote tufie humu humu nchini na wenye access ya kusafiri wawe wachache au?
Hakika siku nikiondoka kwenye hili jalala nitafurahi mno.
Ipo ila tu apambane nao hata mimi niliombwa lkn nilipambana mpaka nilipata.Barua ya mwaliko haipo katika document zinazohitajika. Au kauona mlugaluga sana?
Logically ni kitu ki moja. Mfano unapojibu nimealikwa na mtu then toa mwaliko, kama utajibu unaenda masomoni utaombwa admission letter. Ilinitokea nlikuwa naenda exchange then waliomba ile barua ya kunialika kwenda kubadilishana uzoefuLakini sio barua ya mwaliko. Tunajaza hizo form mara kwa mara
Uhamiaji wana masharti afadhali hata ya kwa mganga wa kienyejiSiku ya jana nimepeleka document zangu kwa ajili ya kupata passport lakini nimeambiwa inahitajika barua ya mualiko pamoja na copy ya passport ya mtu ninae kwenda kumtembelea.
Kama kuna mtu yuko na sample ya barua ya mualiko anisaidie nipate niweze kuedit kwa ajili ya kuitumia.
Kwa hiyo kama Sina huo ushaidi wa safari siwezi kupata passport?Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa wako
Cheti cha Kuzaliwa Mwombaji
Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa Mzazi wa Mwombaji
Kitambulisho cha Taifa
Picha ya Mwombaji ya hivi karibuni yenye kivuli cha rangi ya buluu isiyokoza (Light blue Background)
Ada 150000.
Ushahidi wa Safari- hii ndio iliyomfanya aombwe mwaliko au kama ni safari ya masomo admission letter
Kwanini lakini Inakuwa hivyo??Barua hiyo anakuandikia anayekualika anaweka anwani yake alipo.
Atapresent credential zake pia kama ile front page ya passport na kibali cha ukaazi huko aliko.
Haya ndo ya kumwambia mgombea wako ayafanyanyie kazi akiingia ikulu.Kwa hiyo kama Sina huo ushaidi wa safari siwezi kupata passport?
Na vipi kama nimeamua tu kutoka nchini kwa recreational purposes na Sina ndugu Wala rafiki huko ninakoenda siruhusiwi kusafiri au?
Kwamba wanatupenda sana na Wana hofu huko tunakokwenda kama hatuna mwenyeji tunaweza tukadhurika au??? Yaani kwamba hii serikali inatupenda sana sisi raia wake?????
Haya Mimi mwakani Nina mpango wa kwenda Morocco kwenye michuano ya AFCON kusapoti taifa Stars, na huko Morocco Sina mwanyeji hata mmoja, je na penyewe wataniambia nitafute mwenyeji huko Morocco kabla sijaenda na nikikosa mwenyeji hawatoniruhusu kuondoka nchini kwenda kuisapoti taifa Stars??
Nchi hii Ina maudhi mengi sana..
Walipa kodi kwa nini mnataka kutoroka😅😅😅Kwanini lakini Inakuwa hivyo??
Mbona Rwanda hapo hawana mashariti ya kijinga kiasi gani?? Ni lini hili taifa litaanza kwenda sawa na ulimwengu?
Ulaya pacha umekuwa shida, haya hata passport nayo kupata mnaweka mashariti magumu na ya kipuuzi hivi? Daah
wale wanaotekwa na kuuawa cyo walipa kodiWalipa kodi kwa nini mnataka kutoroka😅😅😅
Waulizwe kina mafwele mkuu🤗wale wanaotekwa na kuuawa cyo walipa kodi
Tangu lini hayo mambo? Au unaomba VISA? Komaa passport ni haki yako
Kaka Kuna mambo mengi sana huwa yananiudhi na kuvuruga kabisa mzunguko wangu wa Damu Kila ninapoyaskia.. Moja wapo ni hili la kupata passport jinsi lilivyokuwa na milolongo mirefu isiyokuwa na kichwa Wala miguu.Mzee baba kwenye passport tu unalalama hivi, vipi ukikutana na figisu za kutafuta visa?
ukikosa nitafute. sio bure. niandalie 20 nakutumia vyote. kama huamini, sio lazima.Siku ya jana nimepeleka document zangu kwa ajili ya kupata passport lakini nimeambiwa inahitajika barua ya mualiko pamoja na copy ya passport ya mtu ninae kwenda kumtembelea.
Kama kuna mtu yuko na sample ya barua ya mualiko anisaidie nipate niweze kuedit kwa ajili ya kuitumia.
Si mtaleta walipa Kodi wengine kutoka Oman huko, Tena mtawapa na maeneo kabisa wao na Koo zao kama mlivyofanya Ngorongoro....Walipa kodi kwa nini mnataka kutoroka😅😅😅