Barua ya Palestina kwenda Umoja wa mataifa

Haya uliyoyaandika sio mageni.
 
Naona hakuna mahala ambapo wamekemea na kulaani mashambuizi ya Hamas ya juzi dhidi ya vifo 600 vya raia wa Israel.

Basi wasipotaka kupatana wajue wenyewe wanaishije
 
FUTA kauli Yako,

Usiseme wapigwe tu .

SEMA MAGAIDI YA KIPALESTINA YAULIWE TU.
Kwani ilianza leo au jana hiyo, ni kuanzia 1948. Hakuna jipya kwenye hilo.

Uzuri ni kuwa hawaishi, na wao wanapumua, si unawaona wanachokifanya huko? Au huna macho, huna masikio?


Ndai ya siku moja wayahudi na vibatraka wao 700 wameuliwa. 1,800 wamejeruhiwa na wengi wameshikwa mateka.

Wapalestina wamesema kwa matokeo hayo, hata wakimaliwzwa wote waliopo gaza, wapo radhi.
 
Stage 4 ukanda wa Gaza ni upi
Ukanda wa Gaza ni hapo Padogo kusini magharibi mwa hiyo map, Penye alama G.
W ndio West Bank na hapo Penye kidoti ndo ilipo Jerusalem
 

Attachments

  • IMG-20231009-WA0000.jpg
    14.9 KB · Views: 2
Hakika.
Na kama lengo ni kuwafuta hao wapalestina kwenye hiyo ramani, basi kwa speed hii watakamilisha kabla ya miaka hamsini ijayo.
Na uzuri ni kuwa na wao kila wanapopata fursa unayaona yanayotokea. Wanakufa kishujaa.

Wameshasema wapo tayari kwa lolote.
 
Na wao wamuombe Iran, kusiwe na visingizio mbungi ipigwe anayeshindwa atulie.
 
Unabeza Israel kupata msaada wa USA, halafu unalalamika UN hawatoi msaada kwa Palestina!
 
Waache kulia Lia walitegemea nini kuvamia Na kuua raia wasiokuwa na hatia, nasikitika ktk mashambulizi yanayofanywa na Israel wapo watoto na kina mama wasiokuwa na hatia wanakufa ila hakuna namna lazima walipe matokeo ya uhuuni walioufanya jumamos.
 
Ukanda wa Gaza ni hapo Padogo kusini mashariki mwa hiyo map, Penye alama G.
W ndio West Bank na hapo Penye kidoti ndo ilipo Jerusalem
Kwahiyo lengo lao ni kutwaa Gaza na Jerusalem
 
Hakika.
Na kama lengo ni kuwafuta hao wapalestina kwenye hiyo ramani, basi kwa speed hii watakamilisha kabla ya miaka hamsini ijayo.
WAna nguvu isiyo ya kawaida
 
Wapalastina waliopo lebanon washalianizisha kutokea huko jana. Wanatuma vitu kutokea mbali.


wayahudi kama walivyoweka wenzao jela kutokea 1948, na wao wanaionja jela ya mashimoni kama panya, leo ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…