FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hamas wapo kimya toka jana, wayahudi wanasema wamewamaliza wote.
Hamas wametuma ujumbe wanasema tulikuwa tunajuwa mtakuja kwa vishindo baada ya tukio, fanyeni mfanyavyo sisi mtatusikia kutokea mbali. Tunawangoja mitaani mje tukutane uso kwa uso.