Barua ya Palestina kwenda Umoja wa mataifa

Hivi walitegemea nini kingetokea?
 
Barua hiyo wangeiacha kwanza hawa watu watiane adabu. Hamasi walisema walijiandaa kwa long war. Sasa barua wanamplelekea nani, ifanye nini, ili iweje?
Piganeni apatikane mshindi, muheshimiane.
Wao waondoke Gaza mapema
 
Huo mgogoro hautakwisha ni ama Israel wafe wote ama Pelestine wafe wote, hakuna altenative ya hilo. Waachwe wasiingiliwe hiyo ni vita yao ya ndani.
Gaza itabomolewa yote kisha wapalestina wataondolewa Gaza watafutiwe eneo jingine hata Tanzania
 
Wenzako wanakufwa
 
Wapalastina waliopo lebanon washalianizisha kutokea huko jana. Wanatuma vitu kutokea mbali.


wayahudi kama walivyoweka wenzao jela kutokea 1948, na wao wanaionja jela ya mashimoni kama panya, leo ya pili.
Usije lia baadae
 
yani kwenye uzi mmoja kule umecomment "hamas wamejificha wanasubiri wakati mwingine" huku uzi mwingine unasema hamas wanaendelea kuwanyuka wayahudi.


na je ushabiki aside, unadhani Hamas (millitary base zisizo hata na umeme wala maji na teknolojia ya Toyota pick up) wanauwezo wa kuwanyuka Israel ?
 
K mmoja

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Wapalestina wapigwe tuu
Watu washaingia mtaani huko Israle saivi ni mtu na mtu, vita ya ardhini Israel hawaiwezi wanapigwa kama ngoma, Mungu hatawapa tena nguvu Palastine wagomboe ardhi yao kutoka kwa Wazayuni waliopandikizwa na kudai uhuru wa nchi bandia iitwayo Israel
 
Kichapo kipo pale pale, ninyi makobazi huwa mnafanya kila kitu kwa mihemko. Kichapo cha safari hii hapo Gaza mtageuka vifusi
 
Hivi wewe madhila ya wapalestina ya miaka zaidi ya 70 huyaoni?

Au watu wasio na hatia wa palestina wanaouuawa kila siku huoni kama uhai wao una thamani?
 
Hivi wewe madhila ya wapalestina ya miaka zaidi ya 70 huyaoni?

Au watu wasio na hatia wa palestina wanaouuawa kila siku huoni kama uhai wao una thamani?
Tulia wewe chura ...........uko kwenu kijijini watu hawafi au ?? Mpaka uwaonee huruma hao wa mbali wanakuhusu nini?? Au ndio udini dini na mambo yenu ya mnyaazi........wewe si mtoto wa mudi nenda sasa tukuone.........unashindwa kuitetea katiba uliyonayo na bandari utaweza dini iliyoletwa kwa maboti......
 
Hivi walitegemea nini kingetokea?
Yaani hapa hata sijui walikuwa wanafikiria nini hawa bazazi..............wakati mwingine vifo huwa vya kujitakia inatakiwa akili na siyo ubongo mkubwa .........ifikie mahali Allah u akbar itumike kwenye vitu vya msingi sio huu utoto unaoletwa kwenye mambo ya kijinga...........mkileta ubishi mtakufa na kuwa vilema kira siku........ukitaka sikia usipotaka pia sikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…