Barua ya Palestina kwenda Umoja wa mataifa

Ingawa hayanihusu ila hao Palestine wanastahili kipgo cha mbwa koko wao ndio wamechokoza chuki wacha ziwashambulie.
 
Fatilia nani kaanza usiongee kwa kuona ya jana huoni kila siku Palestinian wanavunjiwa nyumba zao wanaporwa ardhi mnayaona lakini chuki husda umeweka mbele
 
Msikilize
 

Attachments

  • VID-20231008-WA0008.mp4
    12.4 MB
  • VID-20231008-WA0013.mp4
    21.7 MB
Ni muda wa kuvuna walichopanda, ukianzisha ugomvi ujue kupambana usitegemee nguvu za watu wengine, pigana sasa mwanaume, ni muda wa kubeba majambia sasa na kutumia farasi na ngamia vitani.
Sipendi uonevu ila tunasngalia nani alianza kumkunja na kumtia ngumu mwenzie.
 
Bibi ushungi tulia kwanza washikishwe adabu hao ndugu zenu katika imani
 
Hao mbona ni kila siku. Hilo wala siyo jipya.

Mashujaa juzi na jana wameuwa wayahudi 700, unalijuwa hilo? Tena wengine walikuwa kwenye tamasha la mziki.

Hapo kwenye tamasha wakaondoka na vichwa 260.
Sasa usiishie kusifia hapa kwa maneno matupu, inabidi uende ukawasaidie kabisa kuyamaliza Mayahudi ukasimame mstari wa mbele kabisa kule vitani.Hakika utakuwa umewatendea haki ndugu zako.
 
Sasa usiishie kusifia hapa kwa maneno matupu, inabidi uende ukawasaidie kabisa kuyamaliza Mayahudi ukasimame mstari wa mbele kabisa kule vitani.Hakika utakuwa umewatendea haki ndugu zako.
Kwa umri wangu nikienda front ntakuwa siwasaidii bali nawarudisha nyuma na kuwaharibia.

Kusaidia kwangu, ntaendelea kuwaelimisha hapahapa asaa yatawaingia.

Kwanza waliotangaza kuhitaji msaada ni wayahudi siyo Hamas. Wewe unangoja nini kwenda kuwasaidia wayahudi?
 
Mnalalamika nini wakati mnaenda ku enjoy bikra 72?
 
Fatilia nani kaanza usiongee kwa kuona ya jana huoni kila siku Palestinian wanavunjiwa nyumba zao wanaporwa ardhi mnayaona lakini chuki husda umeweka mbele
Nani kaanza wapi ? Lini? Sehemu gani?tuliza upya upya chini hapo
 
Wacha tuone...
 
Siku zote Waislam tunatakiwa tusimame upande wa haki.
Nani alikuambia wapelestina ni waislam au wayahudi ni wakristo

Soma historia Ustadhat

Wapalestina sio waislam na wala hawaamini kama wewe unavyoamini story za quran

Wayahudi sio wakristo na wala hawaamini maneno ya bibilia

Wapelestina wana tamaduni zao za kuabudi hazifanani kiimani na kimatendo na uislam

Wayahudi wana abudi tofauti kabisa na ukristo unavyoamini

Hao hawapiganii mambo ya dini,Pande zote kuna raia wanaofanana kwa kila kitu ,Wameoana na kuzaliana

Hayo mahekalu ya al aqsa ni ya kwao wote ,Waliyajenga wenyewe kwa mikono ya mababu zao

Ukisikia mtu anasema wayahudi ni wakristo ana shida kichwani

Ukisikia mtu anasema wapelestina ni waislam ana shida kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…